I know am guilty, help me get out of this mess

I believe ur a christian na sio jambo jema...hebu achana nae na mwombe Mungu akupe kilicho chako..nguo ya kuazima haisitiri ...... xo tafuta wa kwako na utapata mzuri tu
 
Hakuna lugha tamu to say this,U GT NO FUTURE WITH HIM,NA WEWE UNAJUA HILO...kama ulivompata huyo utampata mwanaume mwingine as well,othrwise time will tell
 
Duh ngumu! Pole sana mpenzi! Kwa akili ya kawaida apo wajidanganya!
Me nakupa option mbili;
1) We mtumie fanya mambo yako ya maana..nyumba ,biashara nk..
Hehehehe mi mbaya!) then umwache taratibu...umwambie mkewe amekuomba for the sake of the kids.
Yani taratibu tuu sio kurupu! Au umwambie umepima unangoma nae akapime heheheh ila goma kwenda nae:)

2) mwelezee mchungaji ila usimtaje uyo kaka ye akuombee ingeneral af kuhusu mume wa mtu. Af kuwa na imani through kujijengea nia ya kuachana nae kimaukwelii..ila atlst uwe ushajiwekeza vizuri shost usijkute ndo umechezea Asernal miaka yote kwa mkopo...hehehe

nb; shit happens anyway!
goodluck
:)

Mhhhhhhhhh!

Nikiwa kama EXPERT WA WAUME ZA WATU, SHOSTI PO UMEUMIA NA UNAPIGWA CHANGA LA MACHO!!!!!!!! Hakuna cha kumuacha mkewwala upuuzi! Dudu hio ndo inamfanya aseme yote hayo na kutaka uendelee kumge mambo ya kikubwa bureeee kwa kumhurumia. Mwanaume anaweza hata kumtukana mzazi wake kama ndo utakacho ili utoe mambo hayo!

Hapo mapen hamna usanii tu wa kupeana mbo adimu baaaaaaas! We usijibwteke MCHUNEEEE UNYOOSHE MAMBO YAKO MSTARI AFU MWACHE AKAFIE MBELE HUKO! Hata dakika oja usisahau ANAKUTUMIA! Sasa UNATUMIKA VIPI JUU YAKO! We mtu mzima.

Mche unaoufanya wa KUTAKA KUJIBINAFSISHIA MUME WA MWENZIO JUMLA JUMLA SIO ISHU KABISAA! Kudokoa inaruhusiwa ila kukwangua ukoko kwenye sufuria ni kumbeep mpishi!

Mume wa mtu ukimpata jivinjari! Hana mpango na wewe jivinjari, anakudanganya jivinjari!!!!!!!!!!

++ BIRDS OF THE SAME FEATHERS........!!
Ni mda sasa wanaume wawe na akili........
Kutoka nje ya ndoa wala si suluhisho....
 
kumbe hawanaga akili ee!?
Basi hawastahili kuwa ndani ya ndoa... Wakikutana na wataalam SIMBA MRARUO Heheheh wataita maji m-m-a
 
Mhhhhhhhhh!

Nikiwa kama EXPERT WA WAUME ZA WATU, SHOSTI PO UMEUMIA NA UNAPIGWA CHANGA LA MACHO!!!!!!!! Hakuna cha kumuacha mkewwala upuuzi! Dudu hio ndo inamfanya aseme yote hayo na kutaka uendelee kumge mambo ya kikubwa bureeee kwa kumhurumia. Mwanaume anaweza hata kumtukana mzazi wake kama ndo utakacho ili utoe mambo hayo!

Hapo mapen hamna usanii tu wa kupeana mbo adimu baaaaaaas! We usijibwteke MCHUNEEEE UNYOOSHE MAMBO YAKO MSTARI AFU MWACHE AKAFIE MBELE HUKO! Hata dakika oja usisahau ANAKUTUMIA! Sasa UNATUMIKA VIPI JUU YAKO! We mtu mzima.

Mche unaoufanya wa KUTAKA KUJIBINAFSISHIA MUME WA MWENZIO JUMLA JUMLA SIO ISHU KABISAA! Kudokoa inaruhusiwa ila kukwangua ukoko kwenye sufuria ni kumbeep mpishi!

Mume wa mtu ukimpata jivinjari! Hana mpango na wewe jivinjari, anakudanganya jivinjari!!!!!!!!!!

Asaanteeee kwa hiii kashdaa
 
Pole SECONDLADY. Maisha ya ndoa ya huyu jamaa wa pili uliyekutana naye Ubungo Bus Terminal, hukupenda kuyaelezea kwa undani. Undani wa maisha ya ndoa ya huyu jamaa ndipo penye suluhisho la maisha yako. Kama ananyanyasika kwenye ndoa kwa namna ambayo talaka ni bora kwake, basi mwambie atafute namna ya kutalikiana na mkewe. Ikitokea hivyo uwe tayari kuchanganya mwanao yule wa kiume na watoto wa huyu bwana kwa matunzo.
Process ya talaka ni ndefu, yaweza chukua kati ya miaka 3-5.
While divorce is being processed remain in the background and never come out in the surface.
Mimi nachukia sana kuvunja ndoa za watu, lakini in your case (both of you) divorce would make two people happy and one sad. Kind of matrimonial democracy!
Wish you both the best.

kama ni ndoa ya kikristo, hakuna divorce labda separation ambayo haitamruhusu kufunga ndoa....
 
Last edited by a moderator:
Wengi wamekushauri vizuri kwa kuongezea kitamu ni chako bibie sio cha mtu, hivi unajisikiaje anapokulala then anavaa suruali yake anaondoka kurudi kwa mkewe na kukuacha mpweke kitandani au unajisikiaje anapokata simu yako na kukusms 'Niko home nitakupigia baade' huyo mume wa mtu mtumie then tupa kule no future kwa mume wa mtu
 
Mhhhhhhhhh!

Nikiwa kama EXPERT WA WAUME ZA WATU, SHOSTI PO UMEUMIA NA UNAPIGWA CHANGA LA MACHO!!!!!!!! Hakuna cha kumuacha mkewwala upuuzi! Dudu hio ndo inamfanya aseme yote hayo na kutaka uendelee kumge mambo ya kikubwa bureeee kwa kumhurumia. Mwanaume anaweza hata kumtukana mzazi wake kama ndo utakacho ili utoe mambo hayo!

Hapo mapen hamna usanii tu wa kupeana mbo adimu baaaaaaas! We usijibwteke MCHUNEEEE UNYOOSHE MAMBO YAKO MSTARI AFU MWACHE AKAFIE MBELE HUKO! Hata dakika oja usisahau ANAKUTUMIA! Sasa UNATUMIKA VIPI JUU YAKO! We mtu mzima.

Mche unaoufanya wa KUTAKA KUJIBINAFSISHIA MUME WA MWENZIO JUMLA JUMLA SIO ISHU KABISAA! Kudokoa inaruhusiwa ila kukwangua ukoko kwenye sufuria ni kumbeep mpishi!

Mume wa mtu ukimpata jivinjari! Hana mpango na wewe jivinjari, anakudanganya jivinjari!!!!!!!!!!

Safi sana Lara 1...Wanaume ni wajinga sana hasa waliooa., atakutajia matatizo kedekede ya mkewe kumbe mmama wa watu hana shida yoyote na hiyo yote ni ili apate anachokitaka,. Yaaahhh ni kumchuna vizuri abaki mweupe na kumuacha, hapo ndo anakuja kujua thamani ya mkewe,Kwel mapenz hamna ni usanii tu umebaki.
 
Kwanza kabisa niseme am new to JF and this is my first post.
Najua kwa jinsi nilivyokuwa nikifuatilia post za hapa kabla ya kujiunga rasmi, kwa nature ya post yangu kuna watakaonishambulia sana, plz dont do that. Kama una la kunishauri its ok, kama huna pita tuu coz, matusi hayatasaidia kitu.

Mimi ni mwanamke umri wangu miaka 26. Baba ni marehemu, tumebaki na mama tuu na kaka na wadogo zangu. Mama hana kazi ya maana ni house wife. Na ndugu zangu pia wengi ni kujishikiza tuu hakuna ajira iliyo ya uhakika. Mara baada ya kumaliza kidato cha nne nilianza mahusiano na kaka mmoja ambaye alikuwa mfanya biashara na hatimaye nikapata ujauzito wake, hivi ninavyozungumza nina mtoto wa kiume umri miaka 6. Huyo mpenzi wangu alinifanyia visa vingi sana ikiwa ni pamoja na kunifanyia mambo ya ushirikina kiasi kwamba nilihamia kwake bila hata ya ndoa rasmi, na kila ndugu zangu wakija wakiniambia kitu nilikuwa nawaona hawana maana. Ikafika hatua huyu bwana akawa ananisaliti lakini hata sikufanya lolote, ndugu wanakuja kunitaka niachane naye lakini nikawa nawadharau.

Mwisho wa yote, mama akaja na mchungaji na viongozi wa kanisa wakaniombea wakati bwana wangu hayupo ndo akili ikanirudia, nikatafakari maisha ninayoishi. Nikaamua kurudi kwetu. Mama yangu akafurahi sana na ikawa mwisho wa mahusiano yangu na huyu bwana, japo alinidhulumu mpaka hela zangu lakini sikuona thamani ya hiyo hela kuliko ukatili aliokuwa ananitendea.

Nikiwa nyumbani kwa mama, nilikaa muda mrefu bila kupata mwanaume wa kunioa, kama mjuavyo sisi akina dada tuliozaa basi kuolewa inakuwa tabu siku hizi. Nikaamua kuwa sihitaji kuwa na mwanaume. Wakawa wanakuja wanaume ambao kimsingi sio waoaji, bali wanaotaka mechi tuu. Siku moja nikiwa kwenye basi Ubungo terminal naenda mkoani nikakutana na kijana fulani ambaye namfahamu kiasi. Ameoa na ana familia (mke na watoto). Tukasalimiana na kufahamiana kwani alikuwa ananifahamu kwa sura lakini hata jina langu alikuwa hajashika sana. Kilichofanya nimfahamu haraka ni kuwa tunaonana kanisani na mama yangu huwa anampenda sana yule kijana, yaani kila tukienda church lazima mama akamsalimie yule kaka na kumwambia karibu nyumbani. Kuna wakati tulipatwa na matatizo fulani yule kaka akawa anakuja kutusalimia na kumfariji sana mama na kuomba nasi.

Basi tukiwa hapo ubungo tukapeana namba za simu na mimi nikaanza safari. Jioni alinipigia simu kunijulia hali kama nimefika salama. Baada ya hapo ikawa sms za kawaida, mara ikawa za kuforwadiana, zikawa za jokes, etc. Siku moja na yeye akiwa safarini tukatumiana sms za usiku mwema, then akaniambia "karibu tulale wote.."
In short nikiwa katika hali ya ukame wa mombasa raha kwa muda mrefu, nafsi yangu ghafla ikamzimikia yule kaka nikajikuta katika msisimko wa hali ya juuu. From there nikajikuta katika dimbwi la mapenzi na mume wa mtu.

Umri wake ni 30s, ana kazi nzuri, mrefu mweupe si mwembamba wala si mnene sana. Really handsome. Huyu kaka anajua kufanya mapenzi sijawahi ona hapa duniani. Bwana wangu wa zamani alikuwa hajui hata kunifikisha kileleni, lakini huyu mume wa mtu dah!!! He can run the game for about 40-50 minutes. Na nikiamua kuspend usiku mzima na yeye anaweza kunipeleka hata round tano in a night na zote akahakikisha mimi nafika kwanza kileleni then ndo yeye afuate. Kufuatia hali hiyo nimejikuta nachukia wanaume wengine wote wanaonifuata fuata, i see them as rabbish.

Kilichonileta hapa jukwaani ni kwamba niko njia panda. Najua sina future na huyu mume wa mtu, na wala simsumbui sana japo ananisaidia sana katika mambo yangu. Hataki tuachane. Kila tunapokutana, ikifika muda wa kuagana huwa analia machozi, hataki tuachane. Nilivyoona hali hii inajirudia mara kwa mara nikamdadisi sana. Akiwa anatokwa na machozi akanisimulia maswahibu anayoyapata kwa mkewe. Ameniambia hawezi kumuacha mkewe kwa sababu ni ndoa iliyofungwa kanisani na kwa misingi ya kikristo haiwezekani kuachana, na pia kwa maslahi ya watoto hataki watoto wake wateseke kwa malezi ya mzazi mmoja. Kwa hiyo yuko kwenye ndoa kama kuzuga tuu. kwa sababu za kimsingi naomba nisiziweke hapa sababu hizo. Ila kama ni kweli anachosema, basi hakuna ndoa pale.

Mwanaume amechanganyikiwa na penzi langu na hataki kitu kinachoitwa kuachana na mimi pia nampenda sana. Naomba ushauri wenu jamani nifanyeje ili niwe na maisha yangu mimi kama mimi na niwe huru. Nifanyeje akili yangu ikubali kuachana na huyu mwanaume na nifanyeje ili na yeye akili yake akubali kuachana na mimi
?
:frusty:

mi nashangaa tu

eti ulipokuwa na boyfrend wako unampenda .eti ukajiona umerugwa na hayo si mapenzi ya kweli

ila sasa upo na mume wa mtu eti unampenda na ni mapenzi ya kweli yanakufanya ushindwe ku
muacha na wala hajakuroga

..aisee ombea ugonjwa wowote ukupate lakini si ugonjwa wa ujinga....unakuwa kama umerogwa yani
 
ushauri wangu umeombewa kutoka pepo mmoja umeingia pepo mbaya zaidi. Inadhihirisha umalaya tu. Subiri yatakayo kupata. Kiumri unaelekea ukingoni kwa mwanamke. Mshahara wa uzinzi = ukimwi.
 
Ee bwana kuna mijanaume miongooooo. Na michozi ya mamba? Mi nahisi ningecheka tena kwa sauti nimzomeee.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Dada kwanza simuliz yako kali nimeipenda ila awali ya yote mim Rich uliwazalo nalinalokusibu limenigusa nipo chuo na kuna wakati ata mim natamani kumpata wakumthamin angalau japo cwez mtimizia yote lakin kam ni future for life let me be with u nakuaid kwenda nawe sawa me bado nasoma Chuo Diploma mwaka wa mwisho mwakani 24/DEC/2014 namaliza naangalia mengine dada naomba nitafute 0764619679
Kwanza kabisa niseme am new to JF and this is my first post.
Najua kwa jinsi nilivyokuwa nikifuatilia post za hapa kabla ya kujiunga rasmi, kwa nature ya post yangu kuna watakaonishambulia sana, plz dont do that. Kama una la kunishauri its ok, kama huna pita tuu coz, matusi hayatasaidia kitu.

Mimi ni mwanamke umri wangu miaka 26. Baba ni marehemu, tumebaki na mama tuu na kaka na wadogo zangu. Mama hana kazi ya maana ni house wife. Na ndugu zangu pia wengi ni kujishikiza tuu hakuna ajira iliyo ya uhakika. Mara baada ya kumaliza kidato cha nne nilianza mahusiano na kaka mmoja ambaye alikuwa mfanya biashara na hatimaye nikapata ujauzito wake, hivi ninavyozungumza nina mtoto wa kiume umri miaka 6. Huyo mpenzi wangu alinifanyia visa vingi sana ikiwa ni pamoja na kunifanyia mambo ya ushirikina kiasi kwamba nilihamia kwake bila hata ya ndoa rasmi, na kila ndugu zangu wakija wakiniambia kitu nilikuwa nawaona hawana maana. Ikafika hatua huyu bwana akawa ananisaliti lakini hata sikufanya lolote, ndugu wanakuja kunitaka niachane naye lakini nikawa nawadharau.

Mwisho wa yote, mama akaja na mchungaji na viongozi wa kanisa wakaniombea wakati bwana wangu hayupo ndo akili ikanirudia, nikatafakari maisha ninayoishi. Nikaamua kurudi kwetu. Mama yangu akafurahi sana na ikawa mwisho wa mahusiano yangu na huyu bwana, japo alinidhulumu mpaka hela zangu lakini sikuona thamani ya hiyo hela kuliko ukatili aliokuwa ananitendea.

Nikiwa nyumbani kwa mama, nilikaa muda mrefu bila kupata mwanaume wa kunioa, kama mjuavyo sisi akina dada tuliozaa basi kuolewa inakuwa tabu siku hizi. Nikaamua kuwa sihitaji kuwa na mwanaume. Wakawa wanakuja wanaume ambao kimsingi sio waoaji, bali wanaotaka mechi tuu. Siku moja nikiwa kwenye basi Ubungo terminal naenda mkoani nikakutana na kijana fulani ambaye namfahamu kiasi. Ameoa na ana familia (mke na watoto). Tukasalimiana na kufahamiana kwani alikuwa ananifahamu kwa sura lakini hata jina langu alikuwa hajashika sana. Kilichofanya nimfahamu haraka ni kuwa tunaonana kanisani na mama yangu huwa anampenda sana yule kijana, yaani kila tukienda church lazima mama akamsalimie yule kaka na kumwambia karibu nyumbani. Kuna wakati tulipatwa na matatizo fulani yule kaka akawa anakuja kutusalimia na kumfariji sana mama na kuomba nasi.

Basi tukiwa hapo ubungo tukapeana namba za simu na mimi nikaanza safari. Jioni alinipigia simu kunijulia hali kama nimefika salama. Baada ya hapo ikawa sms za kawaida, mara ikawa za kuforwadiana, zikawa za jokes, etc. Siku moja na yeye akiwa safarini tukatumiana sms za usiku mwema, then akaniambia "karibu tulale wote.."
In short nikiwa katika hali ya ukame wa mombasa raha kwa muda mrefu, nafsi yangu ghafla ikamzimikia yule kaka nikajikuta katika msisimko wa hali ya juuu. From there nikajikuta katika dimbwi la mapenzi na mume wa mtu.

Umri wake ni 30s, ana kazi nzuri, mrefu mweupe si mwembamba wala si mnene sana. Really handsome. Huyu kaka anajua kufanya mapenzi sijawahi ona hapa duniani. Bwana wangu wa zamani alikuwa hajui hata kunifikisha kileleni, lakini huyu mume wa mtu dah!!! He can run the game for about 40-50 minutes. Na nikiamua kuspend usiku mzima na yeye anaweza kunipeleka hata round tano in a night na zote akahakikisha mimi nafika kwanza kileleni then ndo yeye afuate. Kufuatia hali hiyo nimejikuta nachukia wanaume wengine wote wanaonifuata fuata, i see them as rabbish.

Kilichonileta hapa jukwaani ni kwamba niko njia panda. Najua sina future na huyu mume wa mtu, na wala simsumbui sana japo ananisaidia sana katika mambo yangu. Hataki tuachane. Kila tunapokutana, ikifika muda wa kuagana huwa analia machozi, hataki tuachane. Nilivyoona hali hii inajirudia mara kwa mara nikamdadisi sana. Akiwa anatokwa na machozi akanisimulia maswahibu anayoyapata kwa mkewe. Ameniambia hawezi kumuacha mkewe kwa sababu ni ndoa iliyofungwa kanisani na kwa misingi ya kikristo haiwezekani kuachana, na pia kwa maslahi ya watoto hataki watoto wake wateseke kwa malezi ya mzazi mmoja. Kwa hiyo yuko kwenye ndoa kama kuzuga tuu. kwa sababu za kimsingi naomba nisiziweke hapa sababu hizo. Ila kama ni kweli anachosema, basi hakuna ndoa pale.

Mwanaume amechanganyikiwa na penzi langu na hataki kitu kinachoitwa kuachana na mimi pia nampenda sana. Naomba ushauri wenu jamani nifanyeje ili niwe na maisha yangu mimi kama mimi na niwe huru. Nifanyeje akili yangu ikubali kuachana na huyu mwanaume na nifanyeje ili na yeye akili yake akubali kuachana na mimi
?
:frusty:
 
Mhhhhhhhhh!

Nikiwa kama EXPERT WA WAUME ZA WATU, SHOSTI PO UMEUMIA NA UNAPIGWA CHANGA LA MACHO!!!!!!!! Hakuna cha kumuacha mkewwala upuuzi! Dudu hio ndo inamfanya aseme yote hayo na kutaka uendelee kumge mambo ya kikubwa bureeee kwa kumhurumia. Mwanaume anaweza hata kumtukana mzazi wake kama ndo utakacho ili utoe mambo hayo!

Hapo mapen hamna usanii tu wa kupeana mbo adimu baaaaaaas! We usijibwteke MCHUNEEEE UNYOOSHE MAMBO YAKO MSTARI AFU MWACHE AKAFIE MBELE HUKO! Hata dakika oja usisahau ANAKUTUMIA! Sasa UNATUMIKA VIPI JUU YAKO! We mtu mzima.

Mche unaoufanya wa KUTAKA KUJIBINAFSISHIA MUME WA MWENZIO JUMLA JUMLA SIO ISHU KABISAA! Kudokoa inaruhusiwa ila kukwangua ukoko kwenye sufuria ni kumbeep mpishi!

Mume wa mtu ukimpata jivinjari! Hana mpango na wewe jivinjari, anakudanganya jivinjari!!!!!!!!!!

Bhuuuu....

Una bahati umekutana na mianaume mibweg.e Mie mme wa mtu na sichuniki kivile. Nakugegeda na hela yangu utaisikia tu. Hongera unakutana na midume mibweg.ee K zilivojaa hapa mjini, we chuna tu huko Temeke.... Tuliozaliwa hapo Ocean Road utatusikizia Chuda tumetekwa na watoto wa kitanga...

KOKUTONA Na Ennie msije hili jukwaa la wakubwa

Fidel80 kwa ajili ya kumbukumbu ya chama.
 
Last edited by a moderator:
nakushauri uendelee nae mpaka uzeeni!! (ts a joke!! heee, ntapigwa mawe bure!)
 
Back
Top Bottom