Huyu Smile kigeugeu sana mbona ameanza kumfukuzia Nitonye humu humu kwenye hii mada lol..............naona ana wenyewe................This gal is no longer mine...........
Maziwa gani tena wahitaji na mimi ni maziwa kibao..................kama vya nje bado vya kuvutia basi you are not mine................you belong to someone else................