Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
Ningependa wanisalimu hivi: "Habari za saa hizi kaka......!"
Lione kwanza unajishaua tu
Unadhani nakubembeleza?
Unadengua nakutema kama kawa nahamia zangu Airtel kwani nini meeeen!
Teh! Teh!
Umechelewa.
Tena utakuwa umefanya la maana kweli!
Hebu nipm basi mbona unachelewa
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,
Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.
Hivi unajua nimemjibu Erickb52 bila kujua thread kaanzisha nani?
Mzee unazeeka vibaya wallah tena. Ntamuambia dingi aje akutambike!
Ha ha ha haa
You will remain second hand. Wala usitake kujipa ukubwa.
He called me wife.
Tena wanaume ndio sipendi kabisaa, hapa kazini kuna jamaa moja lina mwili mkubwa kila siku linaniamkia SHIKAMOO Mzee, huwa namwangalia tu wala simjibu
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,
Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.
Umenichekesha sana na kunikumbusha mkaka anayeniamkia ili hali umri wetu ni sawa. Mie huwa naitikia tena kwa sauti haswa japo wenzake wanamshambulia kwanini ananiamkia. Mie najua anamuamkia boss wake.
Siunajua mambo yako noma!Najua umeniacha nusu. Kuna siku huwa unarudi kupata mautamu.
Siunajua mambo yako noma!
Watu wa Pwani mnatuweza sana watu wa bara aisee Lol
Mtu mkigusishana vifanyio tu kwisha habari yako huchomoki tena :crying: