Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,
Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.
Mie huwa nafata news tu nikikuta notification kwenye email yangu!
Kama hapa sasa hivi, kule nasoma huku nachat.
Fungua utanikuta.
ShkamooooSio raha yangu?
heheh kwaresma inatusaidia sana kubana matumizi ujue?? lol
Nisubiri basi mpaka saa moja ndo tuje tule!
Shkamoooo
Wapi hiyo kijana? ??Marahaba
Wapi hiyo kijana? ??
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,
Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.
mimi napenda mnoooo,
basi wewe uwe unaniamkia mimi, sawa?
Shikamoo dada @FP
I hate Shikamoo pia...ni kutokana na maudhui yake kuwa na asili ya "Mtumwa na Bwanyenye"
Naomba niwe mkweli, siipendi hii salaam kama nini, yaani nikikutana na binti akiniamkia Shikamoo natamani nimtwange makwenzi ujinga umtoke,
Sipendi mambo ya kuzeeshana kabisa mimi.
Mie nazipenda patna,
Uwe basi unanisalimia aisee!