Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
tehe tehe tehe tehe we acha tu,yani kumekuchaMwingine kule katimua.
tehe tehe tehe tehe we acha tu,yani kumekuchaMwingine kule katimua.
Hebu tujuze umri wako.Imenitokea ghafla sana kila nikikumbuka matendo yake mabaya kwangu nashindwa kumsamehe na ninamchukia kupita maelezo. Kifupi hata nikimuona hasira inanipanda na hata mawasiliano naye sitaki. Hua napenda kua mbali na watu na kukaa alone tu. Nimebadilika sana mpaka marafiki wananishangaa kua nimepoa mno na sionekani. Ila ukweli ni kua nimeumizwa moyo mpaka basi. Sitaki kujua habari zake na sitaki ajue zangu. Mpka sasa hua nasafiri safari nyingi but hawezi jua nipo wapi na nafanya nini.
Nimekua na relationships na wasichana wengi mpaka kichwa kinauma ila sio serious relationships just for chating. Ila wao wanajua niko serious but ukweli kua niko frustrated. Nimeamua kuaachana nao but mmoja ndio ananiumiza kichwa maana yuko serious kupita maelezo. Hta jinsi ya kumuambia kua niko married nashindwa kupata pa kuanzia. Ki ukweli niko confused sana na sioni faida ya kuoa. Nimekua kwenye shida for a long time na nahisi nikiwa single nitakua na uhuru. Sijajua nifanyeje ila nko bored balaaa na haya maisha ya ndoa. Ndoa ya moto balaaa mpka hamu ya kuishi inapotea. Nashindwa kufikiria kurepair my relationship kitu nachofikiria ni divorce tu. Kwa sasa nimeamua kua kimya na kuishi alone kwanza nisome mchezo unaendaje but majaribu nayo ndio yanazidi kwani naposafiri nakua tempted sana.
Kumchukia mtu ni dhambi kubwa hata vitabu vya Mungu vinatufundisha hivyo......samehe 7x70Imenitokea ghafla sana kila nikikumbuka matendo yake mabaya kwangu nashindwa kumsamehe na ninamchukia kupita maelezo. Kifupi hata nikimuona hasira inanipanda na hata mawasiliano naye sitaki.
Hua napenda kua mbali na watu na kukaa alone tu. Nimebadilika sana mpaka marafiki wananishangaa kua nimepoa mno na sionekani. Ila ukweli ni kua nimeumizwa moyo mpaka basi. Sitaki kujua habari zake na sitaki ajue zangu. Mpaka sasa hua nasafiri safari nyingi but hawezi jua nipo wapi na nafanya nini.
Nimekua na relationships na wasichana wengi mpaka kichwa kinauma ila sio serious relationships just for chating. Ila wao wanajua niko serious but ukweli kua niko frustrated. Nimeamua kuaachana nao but mmoja ndio ananiumiza kichwa maana yuko serious kupita maelezo.
Hata jinsi ya kumuambia kua niko married nashindwa kupata pa kuanzia. Ki ukweli niko confused sana na sioni faida ya kuoa. Nimekua kwenye shida for a long time na nahisi nikiwa single nitakua na uhuru. Sijajua nifanyeje ila nko bored balaaa na haya maisha ya ndoa.
Ndoa ya moto balaa mpaka hamu ya kuishi inapotea. Nashindwa kufikiria kurepair my relationship kitu nachofikiria ni divorce tu. Kwa sasa nimeamua kua kimya na kuishi alone kwanza nisome mchezo unaendaje but majaribu nayo ndio yanazidi kwani naposafiri nakua tempted sana.
Wala usiache kuoa kwa story za kusikia...utakuwa unaikosea nafsi ... ingia mwenyewe uicheze ngomaHapo tu ndo panapofanya nijifikirie mara mbilimbili suala la kuoa....
Wanawake sijui tulikosea wapi jamani,,,,yaani unampenda mtu kwa moyo wote kumbe yeye anakuchukulia for granted namna hii? seriously?....Pole sana Mkuu kwa unayopitia, ila zungumza na mkeo wa uwazi na siyo kucheat.
msitukatishe tamaa na umalaya wenu! ulitegemea ukiwa na michepuko shetani akuangalie tu
Nikupe pole tu Mkuu...
Ila usiendelee kujihusisha na hao wengine ambao huna mpango nao kuepuka kuwaumiza na kufanya mambo kua magumu zaidi.
Unahitaji muda wa kutulia na kujipanga upya kifikra
Ni vizur mleta uz ungekua waz yaliyokusibu au nn mkeo aliyekufanyia ili upate ushaur ambao utaweza kukusaidia, mana Ata kushaur ngumu chanzo hakijulikani[/QU
tatizo lako mkuu unaonekana ulifanya kosa kuoa kabla hauja mchunguza vizuri tabia zake na anakuchukuliaje kwenye suala zima la mahusiano na kingine vijana wengi tunakulupuka kuoa tukiwa na umli mdogo mi msini shauli kuoa mi nawaza umilionea na ingawa ukisha oa ndo tiketi ya kupotea
Kaka umeoa?. Mimi nilikua napinga sana watu kusifia marehemu lakini nikagundua binadamu akiwa hai usimsifie mpaka awe amekufa. Kuna mtu nilimdamini kua ni mtu mwema na alipopewa pesa alichokifanya mpaka aibu. Binadamu wana nafasi kubwa ya kubadilika kulingana na aina ya maisha na marafiki anaokua nao. So unaweza kuchunguza sana mpka ukamaliza lakini mambo yakabadilika. Unajua nini nimesoma habari ya scopioni wengi walikua wanamfahamu wanapisha na wanahitaji ushaidi zaidi ya kujua kama ni yeye alietenda ule uovu. Nafikiri umenielewa mkuu
Duuh pole sana kaka kama una imani kweli funga siku 7 huku ukiwa unaamka usiku wa manane unasali kwa imani mlilie Mungu shida zako zote nakuapia kila kitu chako kitakaa sawa na akili yako itatulia.
usiache mke wako wa ndoa,
Hebu Jaribu kumpenda kama ulivyompenda Enzi za Uchumba Uone kama hajabadilika Mkuu,
Love can save it all,
huko nje utapotea,
Usiende Mkuu.
Mkuu mapenzi yanajengwa na maneno na kama hakuna amani ya moyo hata hujaribu vipi utashindwa. Mimi mpaka sasa nimekosa amani moyoni, haya yanayotokea ni tofauti sana na jinsi nilivyomfahamu. Kwa hio siwezi kumpenda kama zamani kwani ni mtu tofauti sana na alivyokua zamani. Labda nijilazimishe but wengine hatujui kufake kwenye maisha. Kama amani ya moyo hamna ni hamna tu.
Kwa mara nyingine pole mkuu... Huyo kichwa ngumu usichoke kumueleza ukweli wa moyo wako kwamba huna future nae...Ni kweli na hilo ndilo linanitesa moyoni mwangu sana. Kifupi nimeachana na karibia wote maana niliwaambia nimeoa but hawakusikia ni kama ndio nilikua nafungua mlango. NImebadili mawasiliano yangu hivyo wengi nimewaacha kabisa. Huyo mmoja ndio kichwa ngumu maana hata ukimpa viashiria kua kuna hatari wala hajali. Speed ni kubwa sana kiasi jinsi ya kuanza kumwambia ni shida kwa kweli ila kuna siku nitamuambia maana kusema kweli sina mpango nae kabisa. Ninajitahidi kupata ahueni ila hii relationship ndio inaniumiza kichwa nahisi wanangu watakosa raha sana lakini sina jinsi. Shida ni kua hata kuachana anavunga kama hataki wakati ukweli ni kua hatuwezani kabisa. Yeye anaona bora angeolewa na Z wakati mimi kwa mahali nilipo nahisi nahitaji kuishi peke yangu. Kama hali hii anaijua leo akiwa na watoto wangu ni ngumu kwa mimi kumuamini mtu mwingine tena.
Ndoa si jela, ndoa Ni hiari yako na unatakiwa kuifurahia, kumbuka Kuna maisha baada ya devorce. Mpunguza kulalama na uwe mtu wa vitendo. Ww si wa kwanzaImenitokea ghafla sana kila nikikumbuka matendo yake mabaya kwangu nashindwa kumsamehe na ninamchukia kupita maelezo. Kifupi hata nikimuona hasira inanipanda na hata mawasiliano naye sitaki.
Hua napenda kua mbali na watu na kukaa alone tu. Nimebadilika sana mpaka marafiki wananishangaa kua nimepoa mno na sionekani. Ila ukweli ni kua nimeumizwa moyo mpaka basi. Sitaki kujua habari zake na sitaki ajue zangu. Mpaka sasa hua nasafiri safari nyingi but hawezi jua nipo wapi na nafanya nini.
Nimekua na relationships na wasichana wengi mpaka kichwa kinauma ila sio serious relationships just for chating. Ila wao wanajua niko serious but ukweli kua niko frustrated. Nimeamua kuaachana nao but mmoja ndio ananiumiza kichwa maana yuko serious kupita maelezo.
Hata jinsi ya kumuambia kua niko married nashindwa kupata pa kuanzia. Ki ukweli niko confused sana na sioni faida ya kuoa. Nimekua kwenye shida for a long time na nahisi nikiwa single nitakua na uhuru. Sijajua nifanyeje ila nko bored balaaa na haya maisha ya ndoa.
Ndoa ya moto balaa mpaka hamu ya kuishi inapotea. Nashindwa kufikiria kurepair my relationship kitu nachofikiria ni divorce tu. Kwa sasa nimeamua kua kimya na kuishi alone kwanza nisome mchezo unaendaje but majaribu nayo ndio yanazidi kwani naposafiri nakua tempted sana.
Thanks sana. Unajua she was my only best friend. Yangekua mambo ya kuzungumzika na kuelewa basi yangekua yameisha. Katika maisha yangu sikujizoeza kua na marafiki wa karibu sana na mimi. Mimi muda mwingi nilikua nautumia home hasa kushinda na watoto wangu baada ya kazi. I like kids wangu sana so hua nawamis sana hata nikiwa kazini. Lakini kuna mambo ambayo nahisi ni muhimu mimi nijue kwanza yeye anayatangaza kwa watu kwanza mambo ya familia yangu sana. Mimi nikiyasikia hua nakaa kimya then unakuta analeta presha ili yale mambo aliyotangaza yatimie. Kuna siku alitamkia kwa macho naona kabisa bora angeolewa na X kuliko kuolewa na mimi. Nikikumbuka hili neno hata sina hamu nae kabisa. Moyo wangu umeshindwa kuhimili hili neno pamoja na mengine but hili ni kubwa kwangu. Nimepoa kifupi moyo umekua mgumu kumkubali tena kama nilivyomkubali mwanzo so nipo nipo tu.
Na kwa sababu sikua na marafiki wa karibu kiasi cha kushinda nao kwa stori za hapa na pale, unaweza kupata picha ni upweke gani nao pitia. Ni mazingira magumu sana kiasi hayaeleweki kabisa.
Imenitokea ghafla sana kila nikikumbuka matendo yake mabaya kwangu nashindwa kumsamehe na ninamchukia kupita maelezo. Kifupi hata nikimuona hasira inanipanda na hata mawasiliano naye sitaki.
Hua napenda kua mbali na watu na kukaa alone tu. Nimebadilika sana mpaka marafiki wananishangaa kua nimepoa mno na sionekani. Ila ukweli ni kua nimeumizwa moyo mpaka basi. Sitaki kujua habari zake na sitaki ajue zangu. Mpaka sasa hua nasafiri safari nyingi but hawezi jua nipo wapi na nafanya nini.
Nimekua na relationships na wasichana wengi mpaka kichwa kinauma ila sio serious relationships just for chating. Ila wao wanajua niko serious but ukweli kua niko frustrated. Nimeamua kuaachana nao but mmoja ndio ananiumiza kichwa maana yuko serious kupita maelezo.
Hata jinsi ya kumuambia kua niko married nashindwa kupata pa kuanzia. Ki ukweli niko confused sana na sioni faida ya kuoa. Nimekua kwenye shida for a long time na nahisi nikiwa single nitakua na uhuru. Sijajua nifanyeje ila nko bored balaaa na haya maisha ya ndoa.
Ndoa ya moto balaa mpaka hamu ya kuishi inapotea. Nashindwa kufikiria kurepair my relationship kitu nachofikiria ni divorce tu. Kwa sasa nimeamua kua kimya na kuishi alone kwanza nisome mchezo unaendaje but majaribu nayo ndio yanazidi kwani naposafiri nakua tempted sana.
Mkuu sijui kama umeshasaidiwa tatizo lako au LA (ndo nimeona hii kitu leo). Ushauri wangu ni huu: the later the worse. Usijaribu kuwa mkakamavu kwenye tatizo serious kama hili. Share kiss kizima tukupe mawazo uondokane na tatizo. Usiendelee kusubiri.Imenitokea ghafla sana kila nikikumbuka matendo yake mabaya kwangu nashindwa kumsamehe na ninamchukia kupita maelezo. Kifupi hata nikimuona hasira inanipanda na hata mawasiliano naye sitaki.