I hate my Boss! I hate you

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Hey guys!.
I just feel that I hate my boss. I even Dont want to see him.
Namchukia sana.
Huyu jamaa hajui wajibu wake hata chembe! mzigo wote wa kazi umelala kwangu yeye muda wote yuko na yahoo massanger!!
yaaani!!!!!

grrrrr!!!!!!!!!!....................
 
Hahaha! Na wewe uko na Jamii Forums! Ngoma droo! Love him baby!
 
I feel you,....my boss alos knows nothing abt the wrok she's supposed to be doing, kazi yake kuforward kazi kwetu...grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Hahaha! Na wewe uko na Jamii Forums! Ngoma droo! Love him baby!

Niko na jamii forums huku napiga mzigo!! ila jamaa kaniachia workload yote m2 wangu. natamani hata niache kazi. nikirudi home niko hoi. yaani hoi ya ukweli. but I belive there is life after employment!!!
 
Just for my personal interest, kwani unafanya kazi gani? Nataka nikupe kaushauri flani hivi!
 
Hiyo haikusaidii Vivian,unajipa presha za bure kwa kuweka vinyongo moyoni.Ninachoona hapo kuna communication breakdown.

Kama anakuudhi kwa nini usitafute muda muafaka mkakaa na kuongea ili mrekebishe tofauti zenu? Na wewe unapokuja humu JF ni revenge? sababu sioni tofauti.Au hamna wakubwa wengine zaidi yake ukawaeleza.

Kama hayo yatashindikana ,nakushauri acha kuweka chuki moyoni zinaleta presha utakufa siku si zako,chapa mzigo wewe mwenyewe,aftaloo unapata experience zaidi ya kufanya kazi kwenye mazingira magumu na sivi yako inapanda chati.

ushauri mwingine , mkabidhi Yesu mizigo yako ya kuonewa na bosi, atakusaidia.

ubarikiwe sana.
 
I feel you,....my boss alos knows nothing abt the wrok she's supposed to be doing, kazi yake kuforward kazi kwetu...grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Inauma sana!! tena sana!!!!
 
sasa si umwambie huyo boss wako afanye kilichomleta job eeh ila na wewe inaonekana ni mvivu unachungulia kila mala anachokifanya boss wako
hahahaha
 
Lots of ppl wana ni pm!! please dont pm

I will unless you change your avatar if you know what I mean. Utapata pm nyingi kwa sababu ya hiyo avatar. Kama unabisha muulize Firstlady1. Hahaha! Mchumba sorry, I hope umenielewa.
 
I will unless you change your avatar if you know what I mean. Utapata pm nyingi kwa sababu ya hiyo avatar. Kama unabisha muulize Firstlady1. Hahaha! Mchumba sorry, I hope umenielewa.

Napenda kuwa mkweli na ndo maana nimeweka ma real photo! i cant fool ppl with another Avator Chrispin. Et FL1 ni kweli unapata pm nyingi sana? coz jana nimepata Pm zaidi ya 30. na zote nilijibu.
 
Is it that simple? just tell me how to do it!!

mwambie boss kwanza i salute wewe una degree nyingi ndo maana ukawa boss wangu au mie nina kuzidi elimu ya msingi mpaka secondari lakini ndo hivo majukumu
naomba tusaidieane kazi boss wangu kila nikirudi home nimechoka sana nashindwa kufanya kazi za home kwangu kwa ufasaha

Ndimi assistant wako Vivian
 
Vivian I have the worst boss on earth na anajulikana mjini hapa kwa roho mbaya bora huyo anayekupa makazi huyu anakufukuza na kazi laini na komaa naye kila siku kabla ya kazi nasali/nasoma zaburi ya 35 najikabizi mikononi mwa Mungu na si mwnadamu pia nafanya majukumu yangu nikibooreka saaaaana nawasiliana na wapwa hapa JF maisha yanasonga

Utahama hiyo kazi na utaeenda sehemu nyingine utakutana na BOSS anataka ze utamu hapo ndio utachanganyikiwa halafu BOSS mwenyewe ni HIV +
 
Napenda kuwa mkweli na ndo maana nimeweka ma real photo! i cant fool ppl with another Avator Chrispin. Et FL1 ni kweli unapata pm nyingi sana? coz jana nimepata Pm zaidi ya 30. na zote nilijibu.

Hahahaha! Danganya toto kula kande mbichiiiiii!
 
Back
Top Bottom