Wewe Vivian acha uvivu wa kisister Do.Mshukuru mungu kukupa boss anayekuanadaa kuchukua nafasi yake muda wowte?Mshukuru mungu kukupa boss anayekupa kazi?
Mshukuru mungu kukupa boss anayekusababishia wewe ujifunze kazi.
Pia acha mara moja swala la kuja hapa kuonyesha uvivu wako.
Yeye mpaka anakuwa boss wako amefanya kazi mpaka wamemtambua wewe anakuaanda unakuja huku kulalamika.
Uliza wenzio walio makazini na tabia za mambosi wao ujilinganishe na wewe wewe upo juu na anakuamini na ndo maana anakuachia kazi.
Ebu acha uvivu wako mara moja fanya kazi.
Labda kama unamchukia kwa kutongoza ila kama ni kazi kula mzigo ujue anakuuandaa bila wewe kujiujua.
Ok