I hate my Boss! I hate you

I will unless you change your avatar if you know what I mean. Utapata pm nyingi kwa sababu ya hiyo avatar. Kama unabisha muulize Firstlady1. Hahaha! Mchumba sorry, I hope umenielewa.

xpin PM mie sipati hata moja picha yangu inaonyesha MRS :eek:
 
Vivian where are u in this row?

Attachments

  • the boss.bmp
    463.2 KB · Views: 81
napenda kuwa mkweli na ndo maana nimeweka ma real photo! I cant fool ppl with another avator chrispin. Et fl1 ni kweli unapata pm nyingi sana? Coz jana nimepata pm zaidi ya 30. Na zote nilijibu.

mie nilipoingia niliwaambia siko single naona wanaheshimu ile status yangu hawanipm saaana zaidi ya greeting fl no more
 
Vivian I have the worst boss on earth na anajulikana mjini hapa kwa roho mbaya bora huyo anayekupa makazi huyu anakufukuza na kazi laini na komaa naye kila siku kabla ya kazi nasali/nasoma zaburi ya 35 najikabizi mikononi mwa Mungu na si mwnadamu pia nafanya majukumu yangu nikibooreka saaaaana nawasiliana na wapwa hapa JF maisha yanasonga

Utahama hiyo kazi na utaeenda sehemu nyingine utakutana na BOSS anataka ze utamu hapo ndio utachanganyikiwa halafu BOSS mwenyewe ni HIV +

Thats my shemeji! good.Na mimi namtamani bosi wa kunirundikia makazi,Bosi wangu mie ananilemaza, na I hve decided to be my own BOSS,nafikiri hii itasaidia sana,vinginevyo namtamani Bosi kama wa Vvian
 
Napenda kuwa mkweli na ndo maana nimeweka ma real photo! i cant fool ppl with another Avator Chrispin. Et FL1 ni kweli unapata pm nyingi sana? coz jana nimepata Pm zaidi ya 30. na zote nilijibu.
Zote? unauza binamu?
 
Thats my shemeji! good.Na mimi namtamani bosi wa kunirundikia makazi,Bosi wangu mie ananilemaza, na I hve decided to be my own BOSS,nafikiri hii itasaidia sana,vinginevyo namtamani Bosi kama wa Vvian

tena miboss kama hiyo huwa ni mizee so nature will assume its place soon/retirement/death.
 
Thats my shemeji! good.Na mimi namtamani bosi wa kunirundikia makazi,Bosi wangu mie ananilemaza, na I hve decided to be my own BOSS,nafikiri hii itasaidia sana,vinginevyo namtamani Bosi kama wa Vvian

Just for my personal interest. Is your Boss he/she?
 
ameshasema hivi

Hey guys!.
I just feel that I hate my boss. I even Dont want to see him.
Namchukia sana.
Huyu jamaa hajui wajibu wake hata chembe! mzigo wote wa kazi umelala kwangu yeye muda wote yuko na yahoo massanger!!
yaaani!!!!!

Kwa hiyo automatically her boss ni he
 
Kama kweli unamchukia, mwambie asipoteze muda wake kwenye Yahoo, mkaribishe hapa na jaribu kumwonyesha thread hii!
 
Kama kweli unamchukia, mwambie asipoteze muda wake kwenye Yahoo, mkaribishe hapa na jaribu kumwonyesha thread hii!

Sure, ukizingatia kuwa avatar yake ni picha yake halisi hali kadhalika jina lake!
 
Napenda kuwa mkweli na ndo maana nimeweka ma real photo! i cant fool ppl with another Avator Chrispin. Et FL1 ni kweli unapata pm nyingi sana? coz jana nimepata Pm zaidi ya 30. na zote nilijibu.

ehehehehehehhe...hebu twambie hizo Pm subject ilikuwa nini? i know haikuwa salamu tu!!!!na nani katuma nyingi zaidi..kuna mtu ataachwa hapa xspin upo???
 
Back
Top Bottom