FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Umesoma tarehe lakini ya hii thread?
na umesoma thread yake ya leo?
Sijasoma wala sina haja ya kusoma anabowa.
Umesoma tarehe lakini ya hii thread?
na umesoma thread yake ya leo?
Fast foward
Tuwie radhi, haya rudi kwa mada sasa!Jistori reeeeeeeeefu ambalo ujumbe wake ungeandikika na kueleweka kwa mistari isiyozidi mitano.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hahhah!
ndio uzuri wa mandishi!
hayafutikagi!
Sijasoma wala sina haja ya kusoma anabowa.
MM you've been caught with your pants down. Chutama mzee mwenzangu.Duh, ukiona vyaelea, vimeundwa...najua mwenye kusema uongo anatakiwa atunze kumbukumbu, je mnafiki? Ni vigumu kuamini aliyesema mwaka 2013 kuwa uamuzi wa Bunge kutooneshwa live hauwezi kufanywa na watu wenye akili timamu, miaka mitatu baadaye kudai Bunge kuoneshwa live ni upuuzi...ni mtu yule yule!
Flashback 2013 - I got it:!! Mheshimiwa Spika mnataka kutuloga!!!?
Fastforward 2016 - Neno la Kuudhi: Hakuna Haki ya Kikatiba ya Kuonwa "Live"
FF hajajua bado kiini cha habari yenyewe!Tuwie radhi, haya rudi kwa mada sasa!
Ulizaneni wenyewe huko kambini kwenu!!
T
FF hajajua bado kiini cha habari yenyewe!
Ha! Ha! Ha! Ha! Kila mtu anaongea lugha yake. Nimekumbuka maneno ya Kakobe!!Kambini kwetu? Unanchekesha.
Huwa sikisii.
Kambini kwetu? Unanchekesha.
Labda huelewi kuwa mtu wa kwanza kumgundua huyo mtu kuwa ni mnafik na fataani humu JF ni mimi na nikampa kavu kavu na za uso miaka mingi sana iliyopita. Members wa JF wa zamani watamkumbuka.
Huyo ni mnafik, fataani, muongo, mzushi na mzandik namba moja humu JF kama si Tanzania hii.
Ni mbaya huyo mtu kuliko kuzimu. Ni bora ukutane na koboko kuliko huyo fataani.
Wengi walikuwa wanamtetea nilipokuwa nampa za uso, leo wananielewa na walionishambulia kwa ajili ya kusema ukweli kuhusu huyo mtu, sasa inawabidi waniombe msamaha.
Huwa sikisii.
Tuwie radhi, haya rudi kwa mada sasa!
Hongera zako kama ndivyo.Nisikijuwe mimi? Mie nnamjuwa huyo kuwa ni mnafik na kigeugeu kwa miaka mingi sasa, toka enzi za Jambo Forums nilikuwa nnampa za uso.
Exactly....nilimwambia hivi juzi tu kwenye ule uzi wa Polepole.Ni wazi sasa MM anatetea kila kitu cha derikali hii si kwa sababu anaamini kwa dhati anayoyotea bali ni kwa sababu anatska tu kutofautians ns kila hoja ya upinzani. Kwa maneno mengine anaongozwa na chuki. Anatofautiana tu for the sake of it! Hii ni aibu kws mtu aliyeheshimika km yeye MM.