Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,140
- 8,399
Ila akikupa unapokea, sio? 😂😂😂😂Nimemlia pesa zake kivipi? Sijawahi kumuomba hata mia tangu nianze mahusiano nae. Kwenye biashara zangu sijawahi kumhusisha hivyo hajawahi kuweka hata sh 5 yake huko, its all me.
Uliwai mkuu kujifunza kumpenda mtu. Ungetupa na iksipiriensi ingekuwa vyema.We hujaamua tu au kama anakasoro zingine useme nikwambie tu ukipata mtu anakupenda na anakuhangaikia hvo usimpuuzie,utayakumbuka haya nisemayo m nadhan pia kupenda unaeza jifunza anza kuimagine upendo wake na vyote vzur anavokupendea bila kusahau nyakati nzuri
Ndo maana kuna methal inasema mpende akupendae nasisitiza unaeza kujifunza kumpenda mtu
As if nyie ni wasafiiiii!! SMH!Meza pain killer tu mkuu.. Hiyo ndio fact yenyewe. ..wachache baadhi yenu mnajielewa ila majority yenu wengi kichwani hamna kitu '' so Hata pale mnapo jitahidi kuji tetea huwa utetezi wenu unamezwa na madudu kama haya tunayo yaona hapa. ... na hatimae huwa tunabaini kwamba mnafanya kazi ya kuitakatisha kaniki iwe nyeupe. .... I'm so sorry to say this
Chai.Aisee @atoto:
Chai.
As if nyie ni wasafiiiii!! SMH!
Hapo kwny kuhamia mtihaniKama ana uwezo wa kukuhudumia kila kitu kwa nini hawezi kupanga kwakwe?
Napata shida kumuelewa huyo kaka how comes kirahisi hivyo naishi kwako??
Wewe ulianzaje kumkubalia mwanaume ambae hajakuoa naishi kwako? Bora angekuwa anakuja matembezi hata wiki ila sio kuishi kwako.
Aisee mm sijawahi hata siku moja kumlaza mwanaume kwangu atalala mchumba wangu mwenye malengo na mm tu.
Kama unajua hutojutia basi mwambie live.
Bora mapema kuliko kufosi ndoaNilianzisha mahusiano na huyu mwanaume miaka miwili na nusu ilopita. Baada ya miezi 6 ya mahusiano nilishtuka kajihamishia kwangu. Sikuweza kumfukuza i just decided to play along though sikupendezwa. Akachukua majukumu ya kulipia rent na matumizi mengine ya ndani.
Kuhusu mambo ya matumizi yuko vizuri tu, japo nafanya kazi na nina biashara zangu pia ila bado hunipa pesa za matumizi. Amenitambulisha nafikiri karibia kwa ndugu zake wote na wanajua tunaishi pamoja, lakini mimi anawafahamu marafiki zangu wawili tu.
Sikuwa tayari kumtambulisha sana kwa upande wangu maana i was having second thoughts. Amekuwa akihitaji mtoto tangu tunaanza mahusiano hivyo nikawa na mtihani wa kujitahidi nisishike mimba kwa kipindi chote hicho.
Amekazania sana issue ya kutaka tufunge ndoa, nimeshalikwepa sana ili ajiongeze lakini naona haelewi somo. Naogopa kumwambia direct kuwa siko tayari kuolewa na yeye, i never fell in love with him. We rushed into this, didnt give me time to digest this. Now i feel like am suffocating. Nimejaribu sana kumpenda nimeshindwa.
Nitumie njia gani ambayo haitomuumiza sana, au itakayomfanya yeye aniache? Nisaidieni maana am tired living a lie.
Nimetamani kumuacha kwa muda sasa ila nashindwa namna ya kumuacha.