I don’t wanna marry him, what should I do?

Ame kutoooo,nyonyo zime kushuka kama ndala. Bado una waza kuolewa kwingine
 
Duh KWELI KWENYE MITI hakuna wajenzi,huyo anayekusumbua na kukudanganya umuache huyu ukimuacha tu haitachukua muda atakukimbia,time will tell,mark my word
 


kuruka mkojo kukanyaga maji.
 
dah mwanamke mshenz kama wewe ndo nlikuwa nae mwaka 2003,nilimpa kila kitu baada ya kwenda masomoni ndani ya miezi 6,tu akaanza kubadilika kauli ya mwisho tuachane nikampotezea na kumwachia na kila kitu tukapotezana toka 2003,mpka mwaka jana nakuja kukutana nae kariakoo anauza nyanya huku mgongoni akiwa na mtoto wa mwaka na nusu dah nilihuzunika sana maana alilia mpka basi nilikuwa na wife pembeni alichoambulia ni elf 10 ya kumuungisha nyanya.Wife baadae nlimweleza kila kitu maana alikuwa hajui naona ndo mapenz ameyazidisha kwaiyo na wewe usijejutia kma alivyojutia mwenzio
 
Sikuwahi kumhusisha mama yangu katika hili naanzaje sasahivi? Wazazi wangu hawajui kama ninaishi na mwanaume.
Hicho kilikuwa ni kidokezo tu tena cha nyongeza. Ushauri wangu na wa wadau wengine hapa bila shaka utakusaidia katika maamuzi yako...na always akili za kuambiwa changanya na zako !!!
 
Kazi imeanza, yaani huyu bibie kasababisha leo wanawake tutachambwa humu[emoji134][emoji134][emoji134]
Meza pain killer tu mkuu.. Hiyo ndio fact yenyewe. ..wachache baadhi yenu mnajielewa ila majority yenu wengi kichwani hamna kitu '' so Hata pale mnapo jitahidi kuji tetea huwa utetezi wenu unamezwa na madudu kama haya tunayo yaona hapa. ... na hatimae huwa tunabaini kwamba mnafanya kazi ya kuitakatisha kaniki iwe nyeupe. .... I'm so sorry to say this
 
Aisee @atoto:
 
Nimejitahidi sana kwa kipindi chote hicho ila sikuwahi na sidhani kama nitaweza. Imefikia hatua i just hate everything about him. Kumbuka hata hii ya kuishi pamoja sikuwahi kuifurahia.
Bado anakugegeda au mgegedo nao ulishaacha kumpa? Pole !!!
 
Damn girl yo fukd up, big tym. Two yrs with a nigga? You'v been sending out the wrong msg then, release him. Don't do a nigga lyk that, he deserves better!! Kama humfeel and you cohabit then definitely unachepuka,, konnichiwa!!
 
mwambie ukweli ukweli humuweka mtu huru na pia na yeye utampa mwanga wa maisha maana hapo ni kama unamtupa baharini na huku ukweli unaujua moyoni
Wapi watu sio waelewa ndugu, after all kuna vitu vingine tunatakiwa tujiongeze sio kuambiwa kila jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…