K Kijana Msomali Member May 10, 2012 92 71 Oct 24, 2012 #1 Wanajamii mchekeni huyu sharoharo na fulana yake kali.....amefanya kusudi ama ni....................lolz Duniani kuna Mambo..... Attachments NEXT LEVEL.jpg 17.6 KB · Views: 79
Wanajamii mchekeni huyu sharoharo na fulana yake kali.....amefanya kusudi ama ni....................lolz Duniani kuna Mambo.....
imhotep JF-Expert Member Oct 13, 2012 46,674 71,039 Oct 24, 2012 #4 Hajui lugha ya kiingereza km hiyo tshirt ingeandikwa kwa kugha ya taifa asingeivaa tusimcheke tuicheke system.
Hajui lugha ya kiingereza km hiyo tshirt ingeandikwa kwa kugha ya taifa asingeivaa tusimcheke tuicheke system.
MaxShimba JF-Expert Member Apr 11, 2008 35,772 4,054 Oct 24, 2012 #6 Kijana Msomali said: Wanajamii mchekeni huyu sharoharo na fulana yake kali.....amefanya kusudi ama ni....................lolz Duniani kuna Mambo..... Click to expand... Shule za Kata, kaazi queri queri
Kijana Msomali said: Wanajamii mchekeni huyu sharoharo na fulana yake kali.....amefanya kusudi ama ni....................lolz Duniani kuna Mambo..... Click to expand... Shule za Kata, kaazi queri queri
Duduwasha JF-Expert Member Nov 3, 2010 5,703 3,653 Oct 25, 2012 #7 Janjajanja Primary School... Unamaliza Shule na kufaulu kwenda secondary school bila kujua kusoma!!! Only In Tanzania Raisi Hajui ni kwanini! naye analalamika Waziri naye Kihiyo kazi sana nchi inajiendesha yenyewe kama auto Pirot
Janjajanja Primary School... Unamaliza Shule na kufaulu kwenda secondary school bila kujua kusoma!!! Only In Tanzania Raisi Hajui ni kwanini! naye analalamika Waziri naye Kihiyo kazi sana nchi inajiendesha yenyewe kama auto Pirot