I Am Sooooo Jealous

ndo yuleyule wa sms au? Kama ndo yule may be kama wahenga walivyosemaga (btw wahenga waliendaga wapi)...ukishaumwa na nyoka.....?
 
Hahaha I second that, if not divine intervention!! Au yuko insecure mazee!! Inawezekana unamiliki kitu ambacho we mwenyewe huamini subconciously!!

Hii nadhani ni dalili ya obssesive compulsive disorder na/ au psychosis (wehu). Halafu eti kuna wanawake wanapenda hii. Mungu wangu!!!!!!!!!!!!!!
 
Pole Baba! Ukikua utaacha WIVU.Ila kama una wivu huo, nae akijua hilo, atakusumbua sana Broda BUJI!
 
Tuongee ukweli hivi mtu akikupenda kwa dizaini hii kweli utaipenda?

sitaki kabisa kupendwa hivyo, si mapenzi hayo ila obsession. Labda niongee kisociolojia zaidi na kwa wale ambao hawaelewi hiyo ni dalili mbaya sana, ningekuwa namjua huyo mdada ningemshauri akimbie mapemaaaaaaa, maana watu wa hivi huwa wana matatizo ya inferiority complex, in their mind they think they dont deserve you na hivyo wanakuwa na wasi=wasi saa yote kwamba watanyang'anywa au kukimbiwa. matokeo yake wanakuwa so defensive na kuwa protective na jelousy ya kii hivyo, hawa ni wepesi kufanya mashambulio ya mwili( domestic violence) au hata kuua. Kwa hiyo i wouldnt advise a friend au mdogo wangu to be involved in a r/ship with such kind of a person. Ndio hizi type za watu ambao huwakaztaza wake zao kufanya kazi wakidhani wataibiwa, ndio hawa ambao huwazuia wake zaokwenda hata sokoni na kuwachagulia nguo za kuvaa. The lis is sooo long i could write till morning lakini kibaya zaidi ni kwamba hawa ndo type za wanaume ambao ni wepesi kucheat pia. So ningekushauri Bujibuji utafute wataalamu, kwa sasa nakureffer kwa dada Sadaka wakati nikiendelea kukuombea Ufunguliwe na hilo pepo la wivu ulipiltiliza.
 
i am very possesive of my girlfriend that i cant stand any man talkn to her, this has become too much that m actually drivin her away but i cant help it..

Be careful you might find yourself running crazy, thats only she is talking to a third person! What if you find a unknown lovely sms!!!????? Take care1
 
i am very possesive of my girlfriend that i cant stand any man talkn to her, this has become too much that m actually drivin her away but i cant help it..

Dah! Buji buji, that's not wise and comfortable to your partner I swear to you. I've been there. Yaani ni kero sijawahi ona. Ina maana you limit your partner to do even some development things since una wasi wasi na watu atakaonana nao. Yaani mi wangu alikuwa na wivu kama wewe. Yamenishinda nimemkimbia fasta. Una infiriority complex au? huamini kama upo peke yako hapo au? manake wangu alikua akihisi kila saa anaibiwa. Is it the same? Kama ndio hivo, utamkosa huyo beibe wako soon am telling you. BINADAMU AWAYE YEYOTE ANATAKA UHURU.... KUMCHUNGA CHUNGA NA KUMFUATA FUATA INAMFANYA AWE SO UNCOMFORTABLE AND STRESSED!!!
 
Hii nadhani ni dalili ya obssesive compulsive disorder na/ au psychosis (wehu). Halafu eti kuna wanawake wanapenda hii. Mungu wangu!!!!!!!!!!!!!![/QUOTE]

kwa kweli hata mimi nashangaa sana!

Lakini unajua nini...kuna wanawake ambao bila kudundwa na waume zao hawajisikii kuwa wanapendwa. Ndio yale yale ya kushangaa ya Musa na kustaajabu ya Firauni. I done seen and heard it all.......
 
Dah! Buji buji, that's not wise and comfortable to your partner I swear to you. I've been there. Yaani ni kero sijawahi ona. Ina maana you limit your partner to do even some development things since una wasi wasi na watu atakaonana nao. Yaani mi wangu alikuwa na wivu kama wewe. Yamenishinda nimemkimbia fasta. Una infiriority complex au? huamini kama upo peke yako hapo au? manake wangu alikua akihisi kila saa anaibiwa. Is it the same? Kama ndio hivo, utamkosa huyo beibe wako soon am telling you. BINADAMU AWAYE YEYOTE ANATAKA UHURU.... KUMCHUNGA CHUNGA NA KUMFUATA FUATA INAMFANYA AWE SO UNCOMFORTABLE AND STRESSED!!!

Thanks. I have the same experience. Nilikuwa na bf wakati niko undergraduate na bahati mbaya yeye alikuwa kashamaliza yuko mtaani sasa mshikaji alikuwa na wivu sijapata kuona, simu isiite atataka kujua nani kapiga na kwa nini, nguo anataka kunipangia nivaeje, sijakaa saa cafeteria nakula mara ukiangalia kwa mbali unamuona kakaaa (ametoka mtaani kuja chuo kajichanganya kuni observe) he was crazy, obsessed and deeply in love.nisiongee na mtu kesi, nikaona hapa sasa haya si mapenzi ni utumwa, nikamwambia mimi na wewe basi siwezi, the guy went crazy he was ready to kill, ready to go to jail ready for anything, and he couldnt agree that it was over between us. Ilikuwa kazi kwa kweli sema tu siwezi kusema meng ila nawashauri wanawake wote waogope watu wenye wivu ni ishu, dont try it at home:angry:
 
sitaki kabisa kupendwa hivyo, si mapenzi hayo ila obsession. Labda niongee kisociolojia zaidi na kwa wale ambao hawaelewi hiyo ni dalili mbaya sana, ningekuwa namjua huyo mdada ningemshauri akimbie mapemaaaaaaa, maana watu wa hivi huwa wana matatizo ya inferiority complex, in their mind they think they dont deserve you na hivyo wanakuwa na wasi=wasi saa yote kwamba watanyang'anywa au kukimbiwa. matokeo yake wanakuwa so defensive na kuwa protective na jelousy ya kii hivyo, hawa ni wepesi kufanya mashambulio ya mwili( domestic violence) au hata kuua. Kwa hiyo i wouldnt advise a friend au mdogo wangu to be involved in a r/ship with such kind of a person. Ndio hizi type za watu ambao huwakaztaza wake zao kufanya kazi wakidhani wataibiwa, ndio hawa ambao huwazuia wake zaokwenda hata sokoni na kuwachagulia nguo za kuvaa. The lis is sooo long i could write till morning lakini kibaya zaidi ni kwamba hawa ndo type za wanaume ambao ni wepesi kucheat pia. So ningekushauri Bujibuji utafute wataalamu, kwa sasa nakureffer kwa dada Sadaka wakati nikiendelea kukuombea Ufunguliwe na hilo pepo la wivu ulipiltiliza.
Well said Mdada nimekugongea kale kabatani ketu!
 
Thanks. I have the same experience. Nilikuwa na bf wakati niko undergraduate na bahati mbaya yeye alikuwa kashamaliza yuko mtaani sasa mshikaji alikuwa na wivu sijapata kuona, simu isiite atataka kujua nani kapiga na kwa nini, nguo anataka kunipangia nivaeje, sijakaa saa cafeteria nakula mara ukiangalia kwa mbali unamuona kakaaa (ametoka mtaani kuja chuo kajichanganya kuni observe) he was crazy, obsessed and deeply in love.nisiongee na mtu kesi, nikaona hapa sasa haya si mapenzi ni utumwa, nikamwambia mimi na wewe basi siwezi, the guy went crazy he was ready to kill, ready to go to jail ready for anything, and he couldnt agree that it was over between us. Ilikuwa kazi kwa kweli sema tu siwezi kusema meng ila nawashauri wanawake wote waogope watu wenye wivu ni ishu, dont try it at home:angry:

Dah jamaa alikufia kweli kweli si mchezo naona ulikuwa unamrusha rusha kunako mmebed rumu hongera sana.
 
Firstly. Are intending to marry her?
Secondly. In your life learn as much as possible to avoid extremes in anything and in whatever you do.
Thirdly. How do you fee when you talk to a girl or a woman be it for better or for worse in your g.friend's absence?
Lastly, are you engaged to her such that you have a positive intention of forming a formal family?
Punguza wivu mkubwa utaugua vidonda vya tumbo!
 
Thanks. I have the same experience. Nilikuwa na bf wakati niko undergraduate na bahati mbaya yeye alikuwa kashamaliza yuko mtaani sasa mshikaji alikuwa na wivu sijapata kuona, simu isiite atataka kujua nani kapiga na kwa nini, nguo anataka kunipangia nivaeje, sijakaa saa cafeteria nakula mara ukiangalia kwa mbali unamuona kakaaa (ametoka mtaani kuja chuo kajichanganya kuni observe) he was crazy, obsessed and deeply in love.nisiongee na mtu kesi, nikaona hapa sasa haya si mapenzi ni utumwa, nikamwambia mimi na wewe basi siwezi, the guy went crazy he was ready to kill, ready to go to jail ready for anything, and he couldnt agree that it was over between us. Ilikuwa kazi kwa kweli sema tu siwezi kusema meng ila nawashauri wanawake wote waogope watu wenye wivu ni ishu, dont try it at home:angry:

Carmel, umesema yote. I had the fuckin same experience. Duh..... ni kero haswaaa!!
We buji, kama ni hivo bora ukapate ushauri wa bure. You need a very good counselling manake si afya.. NOT AT ALL!
 
Sasa washaurini wanawake wenzenu humu wanaodai wanapenda wanaume kama Buji
 
Kwa huyu imezidi, yaani wakati mwingine naota usiku kuwa amenikimbia kitandani, nikigeuka namkuta amelala fofofo.
Hapo humuamsha na kuanza kumhoji ni wapi alipotaka kukimbilia.

Gentleman... Stop halusinating...be a man and get control of the situation with ur girl and stop whining...!Otherwise get prepared to walk in the streets with underp**** on ur head!!!
 
i am very possesive of my girlfriend that i cant stand any man talkn to her, this has become too much that m actually drivin her away but i cant help it..

You do not need to be jealous if you can trust her. Friends have their place and lovers have theirs, the two have different roles to play in ones life. Just deal with jealousy and understand that one can have friend from either intimacy
 
Kale kabatani ka senks sijakaona.ningekugongea.Yani raha sana ukiwa na Mume wa wivu.Huo wivu unaonyesha kuwa anapenda sana

Charity usiombe upate mtu wa aina hii ni kero na kama sio mvumilivu unaweza kuvunja uhusiano
ulikuwa wapi?
huyo uliemsalimia nani?
yule uliongea nae pale nani?
mbona yule anakuangalia sana mnajuana?
umetoka wapi mbona umechoka?
mbona umechelewa kupokea simu yangu ulikuwa wapi?
ulikuwa unaongea na nani kwenye simu muda mrefu? huh! raha inageuka kuwa karaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom