I Am Sooooo Jealous

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,833
i am very possesive of my girlfriend that i cant stand any man talkn to her, this has become too much that m actually drivin her away but i cant help it..
 
What triggered that condition; find out and take care of it right away if you really love her!
 
i am very possesive of my girlfriend that i cant stand any man talkn to her, this has become too much that m actually drivin her away but i cant help it..

Alafu ww mademu wa wenzio unajiexpress kama kawa.
 
Mzee Buji taratibu na huo wivu usije muua mwenzo, do you have any commitments???
 
i am very possesive of my girlfriend that i cant stand any man talkn to her, this has become too much that m actually drivin her away but i cant help it..
Komredi hii imeshawai kukutokea kwa Girl mwingine au ni kwa huyu tu?
 
Haya mambo ya mapenzi kaaazi kweli kweli. Kila siku watu wanalalama na kunung'unika tu. Mara mwenzangu hivi...mimi vile....what the fcuk?
 
Kwa huyu imezidi, yaani wakati mwingine naota usiku kuwa amenikimbia kitandani, nikigeuka namkuta amelala fofofo.
Hapo humuamsha na kuanza kumhoji ni wapi alipotaka kukimbilia.
komredi hii imeshawai kukutokea kwa girl mwingine au ni kwa huyu tu?
 
Kwa huyu imezidi, yaani wakati mwingine naota usiku kuwa amenikimbia kitandani, nikigeuka namkuta amelala fofofo.
Hapo humuamsha na kuanza kumhoji ni wapi alipotaka kukimbilia.

You need intervention my friend.....
 
Kwa huyu imezidi, yaani wakati mwingine naota usiku kuwa amenikimbia kitandani, nikigeuka namkuta amelala fofofo.
Hapo humuamsha na kuanza kumhoji ni wapi alipotaka kukimbilia.

Tangaza sera zako ndugu yangu, halafu weka ndani haraka sana. Ukifanya hivyo hakuna mtu atakayesogea na mtu akithubutu na akisogea tu utakuwa na right ya hot pursuit
 
Watch out, you will go mad very shortly! Take it easy, girls are not ONLY 12 like the disciples of Jesus.
 
mie napendaga kweli wanaume wenye kupandwa wazimu kama buji, raha kweli, mana ukimdondoke yeye tabu wacha yeye adondoke....
 
Kale kabatani ka senks sijakaona.ningekugongea.Yani raha sana ukiwa na Mume wa wivu.Huo wivu unaonyesha kuwa anapenda sana
 
Kwa huyu imezidi, yaani wakati mwingine naota usiku kuwa amenikimbia kitandani, nikigeuka namkuta amelala fofofo.
Hapo humuamsha na kuanza kumhoji ni wapi alipotaka kukimbilia.

Ili wivu uishe mwachie Kitonga Kimey afanze mambo akulainishie njia.
 
mie napendaga kweli wanaume wenye kupandwa wazimu kama buji, raha kweli, mana ukimdondoke yeye tabu wacha yeye adondoke....

Wewe...hii ya Buji ni infatuation! Na huwaga haidumu kwa muda mrefu. Sasa kama mko kwenye mahusiano yatakayokuwa ya muda mrefu, itafika mahali upagawaji wake utapungua. Cha busara hapa ni wastani (moderation) kwani hutaki kujisikia uko mateka au mtumwa wa mtu. Wewe kila mahali unaye tu...maisha gani hayo. Binadamu ni viumbe tunaopenda kuwa huru na saa ingine tunaona bugudha tunapokuwa tunafatwa fatwa kila mahali na mtu mwingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom