I am single again

Nimekuelewa boss. Mimi sikutaka kumbana hata kidogo. Nilimpa nafasi jummamosi aspend na marafiki zake. Ili jumapili tuwe wote. Yeye sasa jumamosi na jumapili zote anakua ametingwa. Siku za kazi anatoka kazini saa 2 usiku inakua ngumu kuonana. Nilishindwa hapo. Weekend nzima hata nikimpigia hapokei. Kuna mahusiano hapo au napoteza mda wangu?
Sasa unataka akupe muda kwani vingine hakupi? Hakuhudumii? Jaribu kuwa busy utaona ni kawaida, ila kama huna cha kufanya utawaza mapenzi sana, acha mwanaume atafute hilo ndiyo la msingi mengine mnarekebishana tu, ukimuweka ndani sana mwanaume atakua wa hovyo sana, mpe uhuru.
 
Mkuu huyo jamaa yako alikuwa choko sema hukugundua tu kama unabisha tafuta rafiki yake mmoja mzoee atakupa ukweli pole sana,tafuta mwingine tu hakuna namna Karibu sana#MAPENZIYALAANIWE
 
Wewe ukishalala na mwanaume ndo unamkinai???.

Huwa mnapima????.


Nyuzi zako zote ni umepata, umekinai, umepata, umekinai ...


Mwanamke wa aina gani wewe ???.



Kiukweli, wewe na wa aina yako... Mnahaja ya kubadilika...

Thamanisha mwili wako.!!!!!
Hivi na wale watatu ambao walikuwa hawafahamiani alitoa hitimisho lao?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Halafu 2021 atakuja jamaa yetu kabisa, atatangaza nia dadeq, atapangiwa mahari ya 3+million. Atawehuka kuzitafuta ili aweke chuma ndani.

I insist, japo nipo nje ya mada, tusitishe mahari jamani.
Acha hizo mkuu, **** ikiichoka kwa mwenzio ni mupyaa.
Naitamani sana nafasi kwa huyu dada inaelekea ana viwango vyake avitakavyo lkn hajavipata
Tuttyfruity

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
anawanyenyekea sijui kama kitu gani. Yani tunaweza kua kitandani ila rafiki yake yoyote akimpigia simu akamchukue mahali ataacha kila kitu akamchukue yani inshort kama anawehuka flani hivi.
Ungemwambia hupendi kampani yake na ukambadilisha huenda angebadilika.
 
Nnavyozidi kufikiria ndo kichwa kinazidi kupata moto. Astaghafiru naskia kutapika.
Anyways alinipa historia yake at one point alikua street kid yani baada ya wazazi wake kufariki alilelewa na aunty yake ambae alikua anamtuma akauze mayai ya kuchemsha stendi. Alikua anashinda huko siku nzima na kurudi home saa 7 usiku. Nikafkiria mtoto mdogo akiishi maisha hayo anakua exposed na vitu vingi.
Sex wise akifanya bila kondom anamaliza ndani ya dakika moja ila akivaa condom ndo afadhali. Sikutaka kumuhoji sana coz I didn't want kumuingilia privacy yake. Plus utamuulizaje mwanaume kama aliwahi kua abused utotoni.

Sex hapendi yani mara nyingi ilikua kama namforce na anaonekana hes not enjoying it.

Too much info
Haya yalitosha kuwa majibu kwako aina ya mtu uliyenaye.
Street boys wengi wanahudumiana wao.
Kwa kifupi hao jamaa zake huenda ndio bwana zake.
Watu wenye mahuaiano kinyume cha maumbile wanaheshimiana kuliko chochote.
Pole sana.
Ukihitaji uponyaji wa nafsi karibu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani huchangamki ukiwa nae na mwenzio alikua mtu wa vibe.
Nakupa difinition ya kupendana.
~kujifunza kupenda kile anachopenda mwenzio.
Hayo ndio mapenz sasa, e.g kama mimi hua natumia bangi basi girl wangu anatakiwa achunguze au aulize why natumia nikitumia inakuaje na muda nikimwambia vuta unakubali, sio kujikuta mwalimu kila jambo.

NOte: too much is harmful, kua na kiasi.
 
Zambee mokilii,bamutuu ya Congo,Hawa jamaa Ni chawa kinomaa.ila fresh tu kuwa na Wana Ila sio kivile Kuna time ya mamiloo na time ya wanaa,jamaa ako alikupa reason why yuko attached sana na hao Wa Congo wa brazavili?jaribu kufukunyua utapata mengi zaidi,yawezekana jamaa Ni mzee wa pisi Kali so wacongo ndo ulimbo wake wa kuwadaka wadada wa mjini
 
Back
Top Bottom