I am single again

Labda wamemshika wamchune
Probably. I was thinking the same labda wamemeroga coz the situation doesn't look Normal. Marafiki zake wote wapo wapo tu hawana maisha yeye tu ndo mambo safi. Anyways mambo ya kishirikina siyapi sana kipaumbele.
 
Probably. I was thinking the same labda wamemeroga coz the situation doesn't look Normal. Marafiki zake wote wapo wapo tu hawana maisha yeye tu ndo mambo safi. Anyways mambo ya kishirikina siyapi sana kipaumbele.

Watu wa wapi marafiki?Yeye wa wa wapi??
 
Wanawake hufikiri mambo ya mpenzi wake (kabla ya kuoana) huwa hayawahusu. Kuna rafiki yangu alikuwa cha pombe haswaaa lakini alikutana na mwanamke anayejua nini maana ya nguvu ya mwanamke katika mapenzi. Jamaa aliacha kunywa pombe na kanisani alienda . Huwezi kuamini lakini jamaa alibadilika na kampani za ovyo ovyo aliziacha. Mwanamke ndiye aliyembadilishaa jamaa
Endelea kumtafuta mwanaume aliyeperfect 100%
Mambo yake ndo yamenifanya nimkinai.
 
Kama mngekua mpo kwenye ndoa sawa una haki ya kulalamika,

Hoja nyingine ni shida yenu ni moja mnataka muda mwingi tushinde na nyie sasa hizo hela mnazotaka tuwahudumie mtazipata wapi?

Mtaanza kusema tunapenda kitonga wakati nyie ndiyo vyanzo, asili ya mwanaume ni utafutaji na katika utafutaji network ina maana sana, wanaume huwa tunapeana ramani sana hakuna watu huwa wanapiga hatua kama wale wanaojichanganya, sasa unataka akae ndani tu muda wote ili iweje,
Nimekuelewa boss. Mimi sikutaka kumbana hata kidogo. Nilimpa nafasi jummamosi aspend na marafiki zake. Ili jumapili tuwe wote. Yeye sasa jumamosi na jumapili zote anakua ametingwa. Siku za kazi anatoka kazini saa 2 usiku inakua ngumu kuonana. Nilishindwa hapo. Weekend nzima hata nikimpigia hapokei. Kuna mahusiano hapo au napoteza mda wangu?
 
Back
Top Bottom