I am missing my country: Tanzania raha jamani!

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
5,349
1,224
Kila ukiongea na watu wa nyumbani utasikia hakuna umeme, Ngereja kawatembelea:
Umeme unapanda bei January huu, watu wamekaa mkao wa kula!
Wenye vituo vya mafuta wamegoma! Mafuta bei juu, dala dala na taxi grounded....
Posho za wabunge zimepanda, wafanyakazi wengine tulie tu, mishahara kiduchu!
ajali za kila siku na mengine!
CCM/CUF?chadema mparaganyiko!
Celeb Mboni na wengine...
matanuzi ya Mwamnvita huko Dubai.... ( sisi tumejikunyata na Baridi)
Diamond/wema/Jokate saga....
male Celebro wa kupiga picha za nusu uchi.......
and many other....

Lakini pamoja na hayo, watu wako happy, maisha yanakwenda, watu wanajirusha, wanamwaga radhi as if nothing happens.....

AIBU YA BABA MKWE! - Global Publishers

Tanzania raha jamani, I am missing my country, nimejikunyata na baridi, sina pa kujirusha, dhiki tupu.......
wale wanaofikiria ni bora wangezaliwa mbwa majuu kuliko watu Tanzania, they are very wrong!
 
Hii habari ni ya Jukwaa la Celebrities kweli? Au kuna ujumbe unapitisha hapa?
 
wewe unanikumbusha miaka fulani huko nyuma nilipokuwa li-nchi fulani nilivokuwa na nostalgia ya kufa mtu juu bongo. Bongo ni bomba!!
 
wewe unanikumbusha miaka fulani huko nyuma nilipokuwa li-nchi fulani nilivokuwa na nostalgia ya kufa mtu juu bongo. Bongo ni bomba!!

Wacha kabisa? hebu angali huyo mzee anavyokula raha hapo??? Huwezi amini kaam kuna shida bongo!
 
Mimi nasimuliwa eti ulaya raha,kumbe sivyo?

Inategemea huo uzuri unauona katika angle gani. Hata kama unapanda trains za umeme, unapanda mabasi mazuri, unaishi kwenye nyumba nzuri, lakini maisha yamejaa stress tupu, huna haki wala amani kwa watu, unabaguliwa, sasa uzuri uko wapi?
nenda kenya tu ujulikana wa Tz uone askari watakavyokufanya....

Bongo is the best, huku tunakuja kutafuta tu....
 
Si urudi au ndo ujapata Green card, unaogopa kurudi.

Jamani muda ukifika nitarudi tu kufaidi maraha ya bongo. Si unajua huku unakuja kwa malengo na kwa muda maalumu? Kwanza muda wangu ukiisha nitakuwa na ubavu wa kukaa huku? Nitafukuzwa kama UKOMA
 
Jamani muda ukifika nitarudi tu kufaidi maraha ya bongo. Si unajua huku unakuja kwa malengo na kwa muda maalumu? Kwanza muda wangu ukiisha nitakuwa na ubavu wa kukaa huku? Nitafukuzwa kama UKOMA
kumbe wanafukuza watu?
 
I can understand you some how. Im half Tanzanian and i was in Tz for my first time since i was born and now im 26. But i liked Tz so much watuthey dnt have money but they are still happy and smiling huko Denmark kupata mtu anasmile ambaye hakujui au kukusalimia is not nomo at all. I understand why u miss home home is where you feel free and u can be your self
 
Ofcuz wanafukusa watu huku is the same with Tz the reason why my parents they moved to Denamrk is because my dad who is Danish couldnt get vitambuliso vya Tz is not only ulaya
 
Kuna kitu tunashindwa kukikubali...

Hata ukiwa na makaratasi au passport ya aina gani yaani ukitoka tu kwenye mipaka ya nchi yako (Tanzania etc)... wewe umeshakuwa "Second class citizen" .. Jinamizi la nyumbani na utamaduni wako vitaendelea kukusumbua daima na miaka yote..
 
Wacha kabisa? hebu angali huyo mzee anavyokula raha hapo??? Huwezi amini kaam kuna shida bongo!

DSCN2332.JPG

Usikose kutembelea kwetu, kuna raha zake, hapo ukipata juice ya ukwaju.... lunch inakuwa taken care of.
 
kuna kaukweli flani! Home is home bana hata kama ni Chimbwilindomakeza!
 
I can understand you some how. Im half Tanzanian and i was in Tz for my first time since i was born and now im 26. But i liked Tz so much watuthey dnt have money but they are still happy and smiling huko Denmark kupata mtu anasmile ambaye hakujui au kukusalimia is not nomo at all. I understand why u miss home home is where you feel free and u can be your self

Thank you. In my flat, there arr 26 apatrments, I do not know any one of them and I have been here for more than one year. Hata tukikutana kweney corridor ni total stranger, kila mtu anamkwepa mwenzake, ukijifanya kumsalimie mtu kwa kumchangamkia, unaweza kuitiwa polisi!!!
 
DSCN2332.JPG

Usikose kutembelea kwetu, kuna raha zake, hapo ukipata juice ya ukwaju.... lunch inakuwa taken care of.

My God, This is life bwana,, people are happy na chips dume... Wooooh, I can not wait, hata kama ngereja anatembelea kila siku, home is best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom