I am looking for a teaching job

I am looking for a teaching job

Umesomea chuo gani ? Labda tuanzie hapo

Mkuu, je unajua kwamba chuoni Hakuna special training ya Kiingereza zaid kujifunza misamiati mipya ya kiingereza. Msingi wa kuielewa vizuri hii lugha unajengwa huku ambako kuna zile adhabu za swahili speakers, mtu akishapita hio level haesabie maumivu na critics kama anazopewa mwanzilishi wa hoja.
 
!
!
hizi digrii kama za baba fulani nyumba nyeupe hizi zina shida sana aisee....haya kazana utapata
 
I hold a degree in Education. I specialize in English and History but i can also teach Civics very well. Please contact me on 0769306968. Currently am in Geita town
Hiki Kiingereza cha mwendo kasi ... Mtaalam wa English lkn unaandika English mbovu kiasi hiki........
 
On top of that , you would have rectified him by showing him/her where things went wrong rather than coming up with unnecessary dramas.
If u think these are drama then, ur are insane!
 
I hold a degree in Education. I specialize in English and History but i can also teach Civics very well. Please contact me on 0769306968. Currently am in Geita town
We are currently in need of Physics and Mathematics teachers!!!
 
If u think these are drama then, ur are insane!

Busara ilikuwa ni kumkosoa kwa kumuonyesha pale alipokosea, sio kukimbilia ku comment ili mradi na wewe uonekane ume comment. Shame on ya.

By the way hata wewe naona lugha ya malkia inakupiga chenga, sio kosa lako though.
 
Pamoja ya kuwa tumeonyesha kushangazwa na mleta hoja waalimu wengi waliomo mashule ya sirikalk uwezo wao ndio kama huu. Watoto wetu wanaandaliwa na waalimu kama huyu
 
I hold a degree in Education. I specialize in English and History but i can also teach Civics very well. Please contact me on 0769306968. Currently am in Geita town
Jambo vani la ziada utafanya shuleni kwetu iwapo tutakuajiro?
 
Kama ipo kazi mpeni tu. Au mwenye chaka lolote ampatie. Otherwise mnamdiscourage tu. mnajua lugha ya malkia,(so what???). Haikufanyi uwe bora ya wengine tusiojua. Hiki kipindi ni kigumu katika kutafta kazi.. watu washakata tamaa. Tusiwakatishe tamaa zaidi..
(Ni maoni tu)
Kwa msaada zaidi tumia Download Elevate Brain Training Pro apk (upande wa android) kujiboost..

Another link Download Elevate Brain Training Pro apk
Tatizo siyo ubora,ni kwasababu anataka kufundisha lugha hiyo hiyo ambayo haijui vizuri,pamoja na kuwa na digrii kwenye lugha hiyo.
 
wakuu, tukishamuimbaa mwalimu huyu wa Arts ,tumuandikie inavyopaswa kuandikwa sio tunamkosoa hatumwambii amekosea wapi

√√ hapa likipita zoezi la kuandika dictation kwa WALIMU wa secondary shule hizi zetuu ndo utajua wanafunzi wanafeli kwa kutokujua kiingeleza au WALIMU ndo hawajuii, tusi mkandamize mwalimu amejaribu sana tuuu
 
Back
Top Bottom