I am looking for a teaching job

Hata hao wanaokosoa hawaijui hiyo lugha ndio maana ukiwambia waandike kwa usahihi amabavyo mtoa mada alitakiwa aandike wanaishia kurukaruka tu.

Watanzania wamekuwa wajuaji wa kitu wasichokijua.

wakuu, tukishamuimbaa mwalimu huyu wa Arts ,tumuandikie inavyopaswa kuandikwa sio tunamkosoa hatumwambii amekosea wapi

√√ hapa likipita zoezi la kuandika dictation kwa WALIMU wa secondary shule hizi zetuu ndo utajua wanafunzi wanafeli kwa kutokujua kiingeleza au WALIMU ndo hawajuii, tusi mkandamize mwalimu amejaribu sana tuuu
 
Wengi hawajui hata kosa lake mkuu, so hawawez kumsaidia zaidi ya kumponda maana ndio kipaji chetu waafrika.
 
I hold a degree in Education. I specialize in English and History but i can also teach Civics very well. Please contact me on 0769306968. Currently am in Geita town
Naomba nijuzwe ni makosa gani ya lugha aliyo yafanya mleta uzi! siyo kupinga tu kuwa kingereza kibovu bila ya kusema kosa lipo wapi?
 
umejuaje kama ni degree holder, anaweza kuwa Certificate au Diploma holder, au kama ni degree ni vile vyuo anavyosema vifungwe, Prof Ndalichako (Vyuo vya kata)
Kaka English yako mbovu sana, ni aibu kwa serikali, ni aibu kwako kuwa degree holder halafu hujui kingeereza, poor English grammar, soma novels, tzama movies, na tzama Mpira wa kiingereza u will improve progressively
 
umejuaje kama ni degree holder, anaweza kuwa Certificate au Diploma holder, au kama ni degree ni vile vyuo anavyosema vifungwe, Prof Ndalichako (Vyuo vya kata)
Ameandika.mwenyewe kuwa ana-hold degree in English.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom