I am looking for a teaching job

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,316
2,000
Kaka English yako mbovu sana, ni aibu kwa serikali, ni aibu kwako kuwa degree holder halafu hujui kingeereza, poor English grammar, soma novels, tzama movies, na tzama Mpira wa kiingereza u will improve progressively
 

Mnondwe

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
3,888
2,000
Mwanangu hapo.atakuja kuharibu kizuri anachokijua,siitaki shule utakayofundisha.
 

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
1,971
2,000
As soon as I saw your thread title, I could imagine the comments from other members as great thinkers!
 

CCA

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
397
250
You need to go for English course I need an English teacher but with this kind of English mmhhh
 

babujr

JF-Expert Member
May 4, 2015
227
250
Nakushauri tu kijana mtaftaji mwenzangu siku nyingine fanya proof reading kwanza kabla ya kupost vitu essential kama tangazo la kutafta kazi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom