au alitaka umfanye kaserengeti boy kaaaaaaake!
NAULIZA TU dada mkubwa!lol
niliiona ile, mimi nikamwomba aniamkie nasubiria hajaanza kufanya hivyo bado.
si unajua dada mkubwa ninavyopenda kuamkiwa?
ha haa, binamu uzee unakuja tu wala usiuogope...Binamu biashara ya kondoo mkia.... ndio alikuwa anajinadi miaka 30 bado kadogooo
Kusema kweli hata mimi umri unavyozidi kusogea na mimi nazidi kukonda kwa kuwaza uzee
Inategemea na mazingira na mada mliyokuwa mnaongea..Tupe habari kamili..ilikuwaje
umeona eeeh!Kwa uchokozi sikuwezi kabisa.....kama mwalimu alikuwa anasahihisha script yako basi anaishia kuandika AAAAAAA!!!
Babu DC!!
yaani hii ni halali yangu kabisaaaaa.Shikamoo binamu.... hata mii bado small jiwe
tega sikiooooo
mzima mpendwa....
umeona eeeh!
maswali yake yote ni ya kichokozi....
hebu soma hilo jingine, lol!
unataka binamu yangu afe njaa?Bado upo Arusha?!Siuamini sana huo mjini..Usile chakula chochote
ndo tunamsubiri aje atueleze hapa, maana naona huu ugonjwa unataka kuenea kwa wababa, mweeeeeeeeee
Mimi mwenyewe nilishindwa kumwelewa kwa kweli, ila kwa vile sijamzoea kivile ikabidi nisepe tu bila kuomba ufafanuzi, lol!Wewe achana naye huyu mdodo wetu....
Akifikia tulipo atapunguza...
Ila huyo kijana atakuwa na agenda iliyokaa kwenye mji wangu wa giza!!
Babu DC!!
ha haaa, naona mlongo wangu unafwata maelekezo sawia, lol!shhhhhi usimwite mkuu wewe!
huyu anaitwa ankal!
umeona eeeenh! nina akili sana mimi basi tu!mtuhuhumiwa wetu aliniwahi mapema!ningekuwaKwa uchokozi sikuwezi kabisa.....kama mwalimu alikuwa anasahihisha script yako basi anaishia kuandika AAAAAAA!!!
Babu DC!!