ha ha aaa give him a chance my foot, lol!
ataisikia kwa jirani tu rafiki
usinichokoze rafikiNini ataisikia kwa jirani rafiki? hahahahaha lol! umenichekesha kweli rafiki kumbe kwa jirani anaweza kuisikia eeh!? lol!
ha haaaa, karibu mamii.....
naona na binamu yangu Jiwe Linaloishi karibu ataanza kujieleza kuwa ni small boy, lol!
Naona mmenishupalia mtadhani nimekula vya kwenu... waja laana nyie msio na haya.....
Nilisema I hate SHIKAMOO kwa sababu kwa mila zetu ni mwiko kuamikiwa kwa salaami hiyo.... inakumbusha mambo ya kikoloni....
umeona eeeh! hana lolotehahahaha siku ya kufa nyani hiyo,we shikamoo inakukumbusha ukoloni wapi?
umeona eeeh! hana lolote
ha ha haaa, hii sijaiona, akitokea hapa mimi simo, lol!ujue uzee unamjia vibaya,wengine uzeeni wanapata strock na msongo wa mawazo wamezeeka hawajajijenga kimaisha lakini Mtambuzi anawaza shikamoo sijui zinampunguzia naniiii mweh.
ha ha haaa, hii sijaiona, akitokea hapa mimi simo, lol!
wewe usinitafutie zali mwezio yule shem wangusiku zote mshikwa na ngozi ndiye aliyechuna mnyama loh akikukuta unaisoma zali lako hilo.
wewe usinitafutie zali mwezio yule shem wangu
kwani hujui kama anataka mashavujamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy". Sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
jamani shem wangu kasema tu hataki kuwarudisha kwenye utumwa, na hana lingine lolote, lol!nilikuwa nakutafuta siku nyingi sana na ww unakubali kuona shem wako anapotea dhambini na mawazo yake ya ngorika.
jamani shem wangu kasema tu hataki kuwarudisha kwenye utumwa, na hana lingine lolote, lol!
mwenzangu laana mbaya sana, bora ukae kimya hivyo hivyomi nakubali kwa shingo upande kwa sababu naamini mwalimu wangu wa history alinifundisha nikaiva ile topic ya colonialism in Africa lakini hii ''shikamoo'' mmmh ngoja ninyamaze ujue ni baba yangu yule nisije pata laana bureeeeeee sababu ya ufukunyuku.
mwenzangu laana mbaya sana, bora ukae kimya hivyo hivyo
niliiona ile, mimi nikamwomba aniamkie nasubiria hajaanza kufanya hivyo bado.
si unajua dada mkubwa ninavyopenda kuamkiwa?
marahabaaaaa, hujambo mdogo wangu?Dada mkubwa unapenda shikamoo na nini kingine?
marahabaaaaa, hujambo mdogo wangu?
kingine napenda msosi......
sawa mdogo wangu, siku ukinikaribisha kwako jitahidi misosi mingi ya aina tofauti tofauti, sawa?Sijambo dada mkubwa
Afadhari nimefahamu
sawa mdogo wangu, siku ukinikaribisha kwako jitahidi misosi mingi ya aina tofauti tofauti, sawa?