Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #481
[/QUOTE]hii iliandiwka wapi kwani jamani!
af BAK toka lini mimi na wee tunafichana confesheni za dada mkubwa!?[
ngoja nikugwaye!nahisi kwenye hii mission Kaizer atanifaa sana we nahis kama dada mkubwa anakupa hongo hivi yailhai[/QUOTE=FP;5842355]sasa hapo si nilikuambia usisome rafiki?
we acha tu, na wao wanavyopenda kudekezwa wasitoe honeymoon mchezo!
ha haaaa, unaishia kunywa supu tu.....Haukwepeki mkubwa mwenzangu...
Ndiyo maana wengine meno yalishandondoka tunabaki kusikitika tunapoona minofu mitamu mitamu inatupita pembeni...
The good thing, ni kwamba ni njia ya kila Bin/binti Adam!!
Babu DC!!
rafiki rafiki......Mnunooooooo wa century! hahahahah lol! kununa utanuna wewe kulia utalia wewe kisha unaishia kulazwa hospitalini...madaktari wanatafuta ugonjwa hawaoni lakini mgonjwa yuko mahututi!!! Shauri yako Rafiki!!!! Mie simo!!!!!
Afadhali umenitia moyo, lol!Wasikutishe mkubwa mwenzangu....
Ni pyepyepye tu...
Babu DC!!
kiukweli mimi sikumwelewa, ila sasa naona na nyie kila mtu ana tafsiri yake, siwaelewi mjue!
[/QUOTE]hii iliandiwka wapi kwani jamani!
af BAK toka lini mimi na wee tunafichana confesheni za dada mkubwa!?[
ngoja nikugwaye!nahisi kwenye hii mission Kaizer atanifaa sana we nahis kama dada mkubwa anakupa hongo hivi yailhai[/QUOTE=FP;5842355]sasa hapo si nilikuambia usisome rafiki?
we acha tu, na wao wanavyopenda kudekezwa wasitoe honeymoon mchezo!
good boy/man?
mi sijui bwana, chagua mwenyewe, lol!
Utatuelewa baadae pale utakapokuja kujua wakati small boy yupo katikati ya mgodi!kiukweli mimi sikumwelewa, ila sasa naona na nyie kila mtu ana tafsiri yake, siwaelewi mjue!
ha haaa, hata wewe rafiki? lol!Hahahaha lol! hajitambui huyu eeh!!!!
God Forbid, lol!Utatuelewa baadae pale utakapokuja kujua wakati small boy yupo katikati ya mgodi!
ukweli ndo upi? ina maana mimi peke yangu ndo siujui ukweli?We ukimbie ukweli tu!! hahahahaha lol! kismall boy kimeozaaaa kabisa hata hakielewi lol!
rafiki rafiki......
mi sitaki, shauriyako
God forbid itakuwa good for birdGod Forbid, lol!
ha haaa, hata wewe rafiki? lol!
basi uwe boy, lol!
sitokaa nimsahau mwanafunzi wangu wa galanos yeye aliniambaia wazi kabisaaaaaaa
madam mimi nimekuota na sauti yako, nikahisi labda sijaskia vyema.
kesho yake ananitamkia wazi madam nakufeel.
jamani nilimchapa na alikuwa form 5 acha tu.
sasa aibu ilikuwa kwenda kusema kwenye kamati ya nidham manake nliona ni kujidhalilisha sana hasa mimi mwenyewe.
nakumbuka mwl mwezangu aliyekuwa makam mkuu wa shule Mr Mbunda alinisaidia kuongea nae na kunituliza kutoka hapo nikapata kisingizio cha kutokufuatilia kama wamekwenda prepo usiku.
kiukweli unapokuwa mwl hasa kwenye shule zenye wakaka wakubwa wa vidato vya juu ni mtihani sana kwa mwl wa kike na hasa kama una umbo dogo. yaani watakuona kama mwenzao vile hata salam tu ukiingia class wanaitoa kwa shingo upande na ukitoka wanapiga story juu yako. na
ha ha aaa give him a chance my foot, lol!Uzi wa kismall boy umeleta mambo lol!, "I am just a small boy and IMO you should give me the chance to taste the heaven" Naogopa mnunooooooo miye!!! πππ
ha haaaa, watu mna maneno, lol!God forbid itakuwa good for bird
ha haaaa......Naaaaahhhhhh! I don't want to pretend! hahahahah