mbaya zaidi ni kwamba unajikuta huna namna manake ualimu uliusoma mwenyewe.
halafu shule za waschana watupu ndo kama hivyo ni chache.
babu mwanafunzi wa form six unamfundisha ukichora FBD yeye nachora ya makalio yako.
mbaya zaid ukiwa makali sna unajikuta umewafukuzisha shule so unawaharibia maisha yake mazima.
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy". Sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
ha ha haaa, huyo sasa ana matatizo, bora huyu mwenzie kaoa, ingawa tu bado anajihisi small boywapo wengi @FP..kuna mwingne ana miaka 35 hajaoa..kila akiulizwa anasubiri nn anasema hana haraka bado mdogo..mi uwa nakereka japo ni maisha yake mwenyew
h haaa, utanilaanije sasa mchawi wako dadako!
ha ha haaa, huyo sasa ana matatizo, bora huyu mwenzie kaoa, ingawa tu bado anajihisi small boy
wewe nakuuliza tena una nini nami na babu?
mimi nikitaka kumwita babu naita Selestini...... lol!
sijui limetokea wapi hilo jina!
babu Dark City kama lako kweli imekula kwako, lol!
sasa wale voda faster wanafundishwa haya yote mwalimu? au ndo yaliishia enzi zenu tu?
mdogo wangu anakomaje sasa na kukusanyiwa watoto wa majirani na ndugu watukutu wote ili aongee nao, lol!
kuna jambo ambalo mimi huwa napinga nalo kabisa, kwamba hata kama utamfukuza mwanafunzi mmoja ili fundisho kwa wengine lkn nyuma yake umeumiza watu wengi sana sana. kwanguu mimi huwa nawapa adhabu kali ndani ya shule pamoja na cancelling hadi ajielewe. kama njia ya kumbadilisha.FBD nini teacher??
Kwa hiyo hutaki wafukuzwe shule, na pia hutaki wapige demo?
Tunafanyaje sasa??
Babu DC!!
ha haaa, unaanza kumwita mwenzio.... alishaondoka kitambo... leo unalo peke yako hapa, na mimi ndo nipo na babu, haya useme yooote ambayo mlikuwa mnatusema jana, lol!
ha haaa, huyo mwacheni ataoa mwenyewe....yaan tena ni makubwa..uwa nachoka tu wakianza kunwanbia habar za kuo ye anadai hajayapanga maisha poa kwa sababu sera za serikali zinarudisha maendleo yake nyuma..apo ss ataleta siasa mpaka kila mtu atachukia na kufunga mjadala
he he heeee, babu hilo jina nimejaribu kutafuta ambalo halipo kabisa kwenye mtandao wangu.....Hilo jina umelitoa wapi wewe mkubwa mwenzangu....
Haki ya nani hii dunia ina vituko...kuna ndugu yangu wa karibu sana ndo jina lake...
Kwangu mimi najua jina la Bibi tu.....wengine hata sijui..lol!
Babu DC!!
ndo nilikuwa najiwazia hayo, hawa voda faster wa ualimu na usisahau uuguzi, ni balaa......kiukweli voda fasta wameharibu elimu sana. na haya tuliwahi kumwambia magreth sitta kwenye mkutano wa UDSTA mwaka 2002 tulimwambia kabisa kwamba hii inaharibu reputation ya fani yetu, akasema nakwenda kuongea na waziri ila sikuwah kuona kama wamelisemea hili jambo kabisaaa.
mwehh, khaa nyie ndio wale wale mkiulizwa umri unarudisha 6 nyuma, mjini hakuna wazee kakangu labda uutake tu.