"I am just a small boy"

he he heeeeee....
hukuwahi kumtokea mwalimu kweli? hata chuo tu.......:shut-mouth:
au wa chuo sio walimu?
cc. gfsonwin snowhite

sitokaa nimsahau mwanafunzi wangu wa galanos yeye aliniambaia wazi kabisaaaaaaa
madam mimi nimekuota na sauti yako, nikahisi labda sijaskia vyema.
kesho yake ananitamkia wazi madam nakufeel.
jamani nilimchapa na alikuwa form 5 acha tu.
sasa aibu ilikuwa kwenda kusema kwenye kamati ya nidham manake nliona ni kujidhalilisha sana hasa mimi mwenyewe.
nakumbuka mwl mwezangu aliyekuwa makam mkuu wa shule Mr Mbunda alinisaidia kuongea nae na kunituliza kutoka hapo nikapata kisingizio cha kutokufuatilia kama wamekwenda prepo usiku.

kiukweli unapokuwa mwl hasa kwenye shule zenye wakaka wakubwa wa vidato vya juu ni mtihani sana kwa mwl wa kike na hasa kama una umbo dogo. yaani watakuona kama mwenzao vile hata salam tu ukiingia class wanaitoa kwa shingo upande na ukitoka wanapiga story juu yako. na
 
ha haaaaa, lol!
mi ngoja nikae kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......... snowhite, nimejitoa, sitaki tena fani ya ualimu, kama ndo kutokewa na "I am just a small boy", lol!
cc. Kaizer
 
Last edited by a moderator:
mi walikuwaga wanaulizanaga mara alf alf hiv madame umeolewa kweli!
ukimwambia jamani mi nimeolewa wanbaki daaah!
wanakuja tena ofisini na maswali yao ya necta nawafundishaa wee wanauliza swali hilo hilo!madame yani vile ulivosema jana ni kweli enh!
nikaona kuuumbaf nibadilishieni darasaa!siku h ni kitu cha form 1 mpk 2 mwisho naanza upya hivo hivo!
 
uuwwwiiii..... kama nakuona vile.....
ngoja niishie hapa, lol!
 
uuwwwiiii..... kama nakuona vile.....
ngoja niishie hapa, lol!
we acha tu!
kuna siku sasa niliwahi kutamanni kulia
kakijana kaduchu yani walahi kale nakatoa nikiwa wima yailahi!
eti nimesimama kituoni kenyewem kapo kwenye daladala
si kakaniminyia kakanikonyeza!af gari lilikuwa ndo linaondoka!yani ujue nilitamni nichukue taksi nilikute lile gari nimshushe yule mtoto nimnase vibao!
yani sio siri niliharibiwa siku nzima!
ah!
 
ha haaaaa, lol!
mi ngoja nikae kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......... snowhite, nimejitoa, sitaki tena fani ya ualimu, kama ndo kutokewa na "I am just a small boy", lol!
cc. Kaizer
FP acha kabisa waalimu wa kike wanaofundisha wavulana hasa wakubwa wanachangamoto sana.
kibiolojia umri huu ndio yuko very active kweli kwenye uhitaj wa ngono halafu ukamweka shule ni midume mitupu kisha unamleta mwl binti mdogo ambaye wao wanamwona size yao. jamani ni mtihani sana sana. wengine hukataaa kabisa kuwafundisha kwa kuhofia kutongozwa nao.

huwez kuamini nilijitahd sana sana kule galanaos kukataa madarasa makubwa ingawa hakuakuwa na waalimu wa kutosha ila niliona bora nikomae na form4 kurudi chini hawa wakubwa waache wafundishwe na njemba kama wao.
 
Last edited by a moderator:

sasa mwali wewe sawa kamwili kadogo!mie jee!?
hawa watoto tunazaa siku hiz hawa mweee!
 
wewe unabahati masomo yako mko wengi mm physics unakuta shule nzima nai waalim wawili tu na mnayo hadi Alevel na wewe ndio mwenye degree unafanyaje??

kwanza ukichora FBD mwanafunzi anachora ya makalio ya mwl, ukiderive bernoulis equation anaderive namna ulivyo. unapointergrate nayeye ana intergrate mwili wako na wake uki differentiate nayeye hivyo hvyo.
khaa! acha tu niukimbie mwe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…