"I am just a small boy"

naona amekuwa kama babu Dark City
chezeya watoto wa kingoni weewe!
kazana kidogo tu atasahau signature, lol!

ahahahhahahahhhahha nini signature
huyu anachokisahau ni beyond borders i see umeona amshasahau aende akashabikie timu gani mpka sa hz if at all ataenda kwenye mpira!
 
ha haaaa.....
mi natamani kuzeeka maana treatment zinarudi kuwa kama za mtoto, lol!

mmmmh uko hata sikutaki mambo ya kutolewa juani na kurudishwa ndani na wanaokuuhudumia kukuombea kifo aaaaah.utoto raha unanukia pooooda
 
ahahahhahahahhhahha nini signature
huyu anachokisahau ni beyond borders i see umeona amshasahau aende akashabikie timu gani mpka sa hz if at all ataenda kwenye mpira!

dada mkubwa akija mwenye mume hapa usinikimbie!
na sijui yuko wapi gfsonwin mweee!
ngoja nijishaue hapaaaa akija takomajee
ha haaaa, unaanza kuita mlete kabla moto haujawaka?
shauri yako......
itabidi labda tumkodi Madame B aje kutoa msaada. sisi wawili tutamuweza kweli huyo madame?
 
Last edited by a moderator:
mmmmh uko hata sikutaki mambo ya kutolewa juani na kurudishwa ndani na wanaokuuhudumia kukuombea kifo aaaaah.utoto raha unanukia pooooda
ha haaaa, siyo uzee wa hivyo, lol!
umenichekesha, unatamani kunukia poda? lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…