JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
hapana binamu......
ni kweli hayo yametokea leo
af uzur wa oral tradition huwa inahifadhika kichwani ujue,inahamishika kwa mdomo,inakuwa tested kwa mikono,inasikilizika kwa masikio,inaonekana kwa macho ahahahhahhahhaha NEED I SAY MORE?
sasa hv kweeeli kuna mtu alishawahi kufundishwa kuandika kabla ya kupewa rula achore mstari wa pambizo?
labda tusubiri, lol!ngoja kesho aje atatujuza, naona leo mama Ngina kakaba penati, faulo, mapka half time.
hv una taarifa za binamu yako au unabaki na Mtambuzi tuu!
ahahhahahahhahahha nahs unapitwaaaa af na binamu yako alivo mbayaaaa anakupa za yule dogo tu wkati mambo yako new edition sa hhz!
ha haaaaa, kwa ninavyojua mimi watoto wa mwisho ndo huwa wanajiona wadogo always..... sasa sijui wewe utakuwa kundi gani? lol!Ha ha haaa!!! Umenifanya nicheke sana dada yangu @FP...binafsi mimi huwa sipendi kuitwa mtoto hata kama kweli ni mdogo cuz naona kama vile nadharaulika lakini at the same time sipendi kuonekana mkubwa.
af watu wananiuliza inakuwaje namaliza topics kwenye mfumo huu wa competence based teaching!hahaaaa.....usiseme kitu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
yaani hiyo utasubiri milele binamu
uliza mlongo wangu snowhite ujue nilivyokuwa mbishi wa kuamkia, lol!
mwalimu na mwanafunzi, mnapeana sumu mjue!sasa hv kweeeli kuna mtu alishawahi kufundishwa kuandika kabla ya kupewa rula achore mstari wa pambizo?
naachaaje kuona ugunduzi wa mwanafunzi wangu!
ngoja ntamuuliza kama ni kweli......
ha haaa, yaani mmenichekesha sana usiku huu...
sasa hv kweeeli kuna mtu alishawahi kufundishwa kuandika kabla ya kupewa rula achore mstari wa pambizo?
naachaaje kuona ugunduzi wa mwanafunzi wangu!
ha haaa, yaani mmenichekesha sana usiku huu...
thanx mlongo wangu, lol!
ha ha haaaa, umeona Ummu
Nashangaa!
ha haaaa.....yap, nilipokuwa mtoto nilitamani kuwa mkubwa nimefika ukubwani natamani kurudi utoto