Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #221
naonea huruma wanafunzi wa watu....ahahhahahhahahahhahahhah alivo na haraka ya kutest mtaala mpya huyu wakati hajui ndo kwanza upo kwenye tume!lol!bora usinipe hiyo miteknik
shhhhhi usimwite mkuu wewe!
huyu anaitwa ankal!
ha haa, binamu uzee unakuja tu wala usiuogope...
ila mtoto wa kiume kujitangazia wewe mdogo mimi naona kama si sawa
leo Mtambuzi atajuuta kukataa shikamoo, lol!
hv una taarifa za binamu yako au unabaki na Mtambuzi tuu!hahaha huyu tukiwa nae kitaa anajitaa Papaaa mukulu... ndio maana namwita \mkuu
he heee, siku hizi fasheni ni kuziacha tu, lol!ngoja nianze kutafuta mango piko ili nipake kichwani nionekane kijana.....
huyo dogo atakuwa hajapevuka.... binam
we tushahama huko siku nyiiiiiingi!binamu naona huu uzi utakuwa umemwanzishia Mtambuzi ila umepinda kidogo kwenye maelezo
umeona eeeh!
wewe una vituko, lol!babu kamwambia hataki wimbo wa ''secret lover ''
anataka ''BABE COME BACK''
babu kamwambia hataki wimbo wa ''secret lover ''
anataka ''BABE COME BACK''
he heee, siku hizi fasheni ni kuziacha tu, lol!