I am calling off the wedding!!!



naunga mkono maamuzi yako mkuu...........
 
Polee kwa uamuz mgumu uliochukua. Umejaribu kuongea nae na kumwambia hiyo tabia huipendi?
 

Na bado, ukimvisha pete ndiyo utakoma!
 


aisee usirudi nyuma, epuka majuto ni mjukuu, km kaanza kiburi Kabla ya Ndoa, ukimuoa utajuta
 

duh uyo dada hakuwa na haja na wedding,alishindwa kuficha makucha for somtym
 
Ni mapema sana ku conclude...subiri hata miezi mitatu ndio uje na hitimisho....

Zinaweza kuwa hasira tu...

Mfano kwa nini umemzimia simu...bado ana power over you ...umeogopa kuendelea kuongea naye utalegeza msimamo...teh teh teh they call it love...
 
Mkuu huo uamuz waweza ukawa ni sahihi au ukawa si sahihi. Je ilipata muda wa kujiuliza haya-
1. Chanzo cha kiburi. Uyawezekana ulijivua sana kwake wakat wa kuanza mahusiano
2. Nini kimepelekea awe hivyo. Kushindwa kusimama kwenye nafasi yako kama me
4. Nafasi yako kwake. Hukuwa chaguo lake
 
UPDATES:

Nimeitwa kwenye kikao kusuluhisha what should i do now, i really don't want to go back to those kind of nasty treatments
 
UPDATES:

Nimeitwa kwenye kikao kusuluhisha what should i do now, i really don't want to go back to those kind of nasty treatments

Nilikwambia mkuu,not so fast kama mlishatambulishana kwa familia mtasuluhishwa tu. Penye wengi hapaharibiki neno!
Hapo kwa bold nenda tu mkayamalize uje ututajie tarehe ya kuja kupiga vigele gele. Nawe ujifunze ustahmilivu utaenda kukutana na mengi kwenye hiyo ndoa unayoiendea,kwa tabia yako mbona vikao vitakuwa kila uchao?
 
mkuu tabia yangu au yake, maana yeye ndiye kasababisha hiki kikao, so i should be expecting vikao kila mara huoni ni jambo la busara kusema hapana sasa, nahitaji njia sahihi ya kusema hivyo bila kuleta madhara kwa jamii inayonizunguka, kama hakuna so niingie mahali nikiwa na doubts??
 
Do u really love tht woman?love is not a feeling,its a choice...bcz feelings can rise and fall,eg mkeo akikutendea mema,kama kupika chakula kitamu,kukukaribisha nyumbani kwa tabasamu pana,kukuombea,kukuheshimu,kukulinda hapo lazima utampenda,bt smtms mambo yanaweza yasiwe hivyo due to stress,hormonal changes nk,vikamfanya akawa na kiburi na asifanye unavyotaka....je utamuacha?Your not perfect,she is not perfect,nobody is perfect the only thing give us strength to survive is the heart of forgiveness.(mimi nilimuomba sana Mungu anipe mume mwenye moyo wa kusamehe###sisemi kwamba nitafanya makusudi kumkosea manake najua atanisamehe...la hasha##bali najua mimi ni binadamu nae ni binadamu sometimes we fall short bt does nt mean that we are evil...we need his grace to survive.God's Grace.
 

Tabia yako wewe ya kuchukua maamuzi kwa haraka,kama kweli umeona hiyo tabia yake imeku put off kabisa na huwezi tena kumvumilia basi kawe tu muwazi na kikao kitakuelewa mtaagana kwa wema. Mwisho wa siku ni wewe ndio utakaye enda kuishi na huyo bint na jamii itabaki kuwa watazamaji tu
 
Nimekupata mkuu ndo maana una msimamo hasi kwa wanawake

Mhhh nadhani hilo ni tatizo yakitokea hayo huwa tunaamka kufuta vumbi kisha tunafunga tena mikanda tayari kwa kwenda kama hakijatokea chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…