AKILImuchknow
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 213
- 14
mkuu hujui tena cha kufanya?:smile-big:..si ndio wewe ulisema linawahusu ninyi na huitaji watu wa pembeni?kawaeleze huo msimamo wako kama kweli una guts hizo...ila nadhani itakuwa hivi baada ya kikao :busu...kila la kheri rafikimkweliUPDATES:
Nimeitwa kwenye kikao kusuluhisha what should i do now, i really don't want to go back to those kind of nasty treatments
Last edited by a moderator: