umechukua maamuzi sahihi kuamua kuacha kujifunga.sisi ndio wahusika wakuu, sihitaji watu wa pembeni, tabia kama hii hairekebishiki mkuu, ni mbaya...hat akionywa huwa mtu mwenye kiburi lazima ataleta tu kiburi tu huko mbele ya safari bora nifunge mahesabu mapema
kiburi tu una call off wedding?
Au bibie alikuwa hataki ndoa wewe ndo ulikuwa una push?
Style up mwanamke kwa mwanaume kama boflo kwa chai
ulishindwa kabisaa kumweka under control, for Gods sake?!
sijui nimezima simu baada ya kumpigia, nilimwambia tu it is off, bye...
Ndo mahali pa kupoozeka angalau!
Sioni tena umuhimu wa kuendelea na hili zoezi...
Tokea nitangaze nia kwake she simply changed alot na kuanza kiburi....
Sasa nasema naivunja hii kitu, sihitaji kuishi maisha yangu yote na binadamu mwenye kiburi...
I have just called her to tell her this....
Ndio mwisho wa safari ndefu ya kuelekea malengo, a very long and sad weekend.
A succesfull
marrage is not all about perfection## its about the heart of
forgiveness and grace....
mkuu nilivumilia sana mkuu, the problem is that i am a very reserved person na yeye anaongea sana, so mara nyingi nakaa kimya kumsikiliza tu akiongea kama cherehani..jana ilizidi kipimo cha uvumilivu nikasema hapana, huyu ama atanizeesha mapema au kuniua kwa mawazo burehujui kiburi asilia.....
kumuonesha upendo kidogo mkuu ni sawa na kuharibu hata ule kidogo uliokuwepo sijui tatizo ninini?? hawa viumbe wanashangaza sanaAchana nae wanawake wakibongo wote mamaao mmoja uswahili mwingi akigundua unampenda basi ashakufanya -----. Bora tukaoe southern sudani nackia madem wametulia
sisi ndio wahusika wakuu, sihitaji watu wa pembeni, tabia kama hii hairekebishiki mkuu, ni mbaya...hat akionywa huwa mtu mwenye kiburi lazima ataleta tu kiburi tu huko mbele ya safari bora nifunge mahesabu mapema