I am calling off the wedding!!!

I am calling off the wedding!!!

Tatizo ni nini mkuu?
Hamna kitu kingine, kiburi tu ndo kinasababisha kuahirisha harusi?
 
duh! Hongera kwa uamuzi... Vipi michango mlishakusanya?
 
^^
It happenend to me too!
Nails out.
Thanks for being a man,, Being bold!
^^
 
Pole mkuu....ongea na watu wa karibu pia kama wanawezasaidia...ikishindikana go ahead

yani ameshafanya maamuzi ametushirikisha tu ili aridhike mkaka wa watu jamani anaonekana kachoka sana
 
Duh! I can imagine hw u feel to let go!!!
 
aaaaaaaaaa wapi we sema tu ushajipigia mzigo umeshauchoka umeamua kuzusha la kuzuka ili umpige chini bi dada wa watu
 
duh! Hongera kwa uamuzi... Vipi michango mlishakusanya?
mkuu sijachukua hata buku la mtu kaka...sina mpango huo mkuu, mimi nilipanga nialike watu kulingana na uwezo wangu tu mkuu, naavoid maswali kama haya ndio maana sikuchangisha
 
stori za hivi wana MMU huwa wanazipendaaaa....
 
kiburi tu una call off wedding?

Au bibie alikuwa hataki ndoa wewe ndo ulikuwa una push?

Style up mwanamke kwa mwanaume kama boflo kwa chai
ulishindwa kabisaa kumweka under control, for Gods sake?!
 
kiburi tu una call off wedding?

Au bibie alikuwa hataki ndoa wewe ndo ulikuwa una push?

Style up mwanamke kwa mwanaume kama boflo kwa chai
ulishindwa kabisaa kumweka under control, for Gods sake?!
kiburi kibaya mkuu unaweza vunja mtu kiuno
 
mkuu huyu mrembo mida sio mjamzito?

Sioni tena umuhimu wa kuendelea na hili zoezi...

Tokea nitangaze nia kwake she simply changed alot na kuanza kiburi....

Sasa nasema naivunja hii kitu, sihitaji kuishi maisha yangu yote na binadamu mwenye kiburi...

I have just called her to tell her this....


Ndio mwisho wa safari ndefu ya kuelekea malengo, a very long and sad weekend.
 
Back
Top Bottom