I am calling off the wedding!!!

I am calling off the wedding!!!

pole sana mkuu kwa masahiba hayo
ila punguza hasira kwani
hasira ni hasara hata kaka
Peter Msechu aliimba wimbo huu bestito
 
Sioni tena umuhimu wa kuendelea na hili zoezi...

Tokea nitangaze nia kwake she simply changed alot na kuanza kiburi....

Sasa nasema naivunja hii kitu, sihitaji kuishi maisha yangu yote na binadamu mwenye kiburi...

I have just called her to tell her this....

Ndio mwisho wa safari ndefu ya kuelekea malengo, a very long and sad weekend.

Ni bora saa hii kuliko huko baadae, Tabia Haina Dawa,
 
Sioni tena umuhimu wa kuendelea na hili zoezi...

Tokea nitangaze nia kwake she simply changed alot na kuanza kiburi....

Sasa nasema naivunja hii kitu, sihitaji kuishi maisha yangu yote na binadamu mwenye kiburi...

I have just called her to tell her this....

Ndio mwisho wa safari ndefu ya kuelekea malengo, a very long and sad weekend.

Hasira hasara mkuu vuta subira na kumpa nafasi ya mwisho,unaweza kwenda kuangukia kwenye kimeo zaidi ya hicho
 
Huyu hapa kanifurahisha hakuja na ki thread cha kuomba ushauri JF. Angalau anajua aliposimamia.

Mumo mumo mkuu. Kama vipi piga living single tu, polepole, kama zali litakuangukia tu.

Hakuna kitu kibaya kama kujiingiza mkenge hivihivi unajiona na kuogopa kujitoa kwa sababu ya macho ya watu.
 
Duuuuuuuuuuuuu!!!!!!!! si ungempa muda mkuu wa kujirekebisha, kumbuka kumbadilisha mtu mzima ambaye hamkuzaliwa pamoja sometimes inahitaji moyo na uvumilivu
 
umemchezea na sasa umemwacha, kwa wanawake utafukuza wangapi sasa, siku zote wengi wanapojua wanaolewa lazima wachange coz kuna makucha wanakuwa wameyaficha kipindi cha uchumba, mwite na umweleze hupendi the way she behave na umwambie nataka kuishi na mwanamke kwenye tabia 1,2,3,4 hapo utakuwa umemsaidia asipobadilika then uchukue maamuzi magumu, zingatia muda nao unakwenda.
 
hahaha jirani.........

Kuna watu wanafiki humu...

Angekuja na thread ya kulalamika tabia ya mchumba wake, wengi wangeandika "chapa lapaaaa".

Lakini jamaa kaja na sredi akiwa tayari kaamua, wanaanza kuuliza nini kimetokea mara ilikuaje?
 
si unajua tena story tunataka kujua mwanzo mpaka maamuzi yakawa hayo...
 
ukimuua nyani usimuangalie usoni

aya lakini ungeomba ushauri hii jamiii ina namna yake ya kuiendesha mkuu kama ujatoka huko kwenye hii jamii utapata tabu sana. pole mkuuu ndo life lakini ila jua atarudi kuomba msamaha lazimautakubali tu.
 
Back
Top Bottom