Hysteria ya uongo!

Hysteria ya uongo!

Mie nilichongundua Nyani Ngabu amejua akiandika ku provoke hisia za watu anapata michango mingi zaidi na umaarufu zaidi, huu utakuwa mkakati maalum wakuzidi kujipa jina ni bora kupuuza tu maana anajua kundi kubwa humu litachangia kinyume na hoja yoyote inayokwenda kinyume na rais

Mimi tayari ni taasisi humu.

Sihitaji umaarufu wowote ule!
 
Howdy!?

Naona kuna kakundi ka watu wachache humu JF na kwenye mitandao mingine ya kijamii wanaotengeneza hysteria ya uongo kwa kukuza mambo.

Lengo lao ni moja tu, nadhani. Ni kumchafua rais aliyepo madarakani sasa.

Awali mtu ungeweza kusema labda pia hawa watu wanaichukia CCM. Lakini mimi nimehitimisha kuwa wanamchukia zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoichukia CCM.

Na ndo maana wanakuwa wanakuza kuza tu mambo.

Wakiona kijimakala kilichochapishwa kwenye jarida sijui la wapi wapi huko wanakimbilia kuchekelea, kusherehekea, na kupagawa utadhani ni ujio wa pili wa Yesu au kiama.

Oh sijui mpaka wazungu wameandika...sijui wazungu nini nini....who cares what wazungus say?

Mara sijui watu siku hizi wanapigwa risasi! Kwani zamani watu walikuwa hawapigwi risasi?

Mnashangaza sana nyie watu. Mko too hysterical kiasi hata kumbukumbu zenu zimeathirika.

Kikwete aliponunua yale magari ya kupulizia upupu mlilia lia humu na mkamlaani. Leo hii kaja Ngosha Mashine mnajifanya kumkumbuka Kikwete. Ina maana mmesahau kuwa alileta magari 700 na ushee ya kuwapulizia upupu na akawaambia ole wenu mkileta vurugu kwenye uchaguzi?

Mna matatizo sana nyie watu!

Si ajabu mshasahau kuwa Dkt. Ulimboka naye alitekwa na watu wasiojulikana akajikuta yuko Mabwepande huko akiwa hajielewi wakati Kikwete akiwa rais.

Hata yule Kibanda naye si alipigwa na hao hao wasiojulikana kipindi cha Kikwete...

Lakini mnavyopiga mayowe sasa hivi utadhani haya mambo yameanza baada ya Ngosha Mashine kushika hatamu za madaraka.

Acheni kukuza mambo nyie makamanda.

Mliikuza ile njaa weee hadi mkaishia kuumbuka tu mwishowe. Tena hayo matumbo yenu makubwa ndo yaliwaumbua zaidi maana kila nilipokuwa nawauliza kama mmeshinda njaa mlikuwa mnakosa majibu.

Mtaishia kuwa wafa maji tu na huko kutapatapa kwenu.

Hili andiko limependeza zaidi, linahitaji tuzo ya heshima.
 
Boss Nyani Ngabu Mavi ya kale ..... ??? Naongelea Mada hii. Tunajua una siku zako, Ukinywa dawa unakuwa na akili zako timamu, ukimiss tu dawa ... ni Sheeda !!!

Hujawahi kuona popote humu nikiyalaani hayo matendo maovu??

Labda hujui kusoma na kuelewa!!

Hilo ndo hitimisho pekee ninaloweza kulifikia!
 
Tofauti ya Ngosha na kikwete,Kikwete alikuwa anawangata na kuchekacheka nao,Ngosha anawangata na hakuna kuchekacheka nao wala kuwapa kikombe cha chai ikulu siunajua Wabongo tunapenda kuchekewa chekewa kinafiki tukipewa live za uso hatupendi,Magufuli wape za uso mpaka wainue mikono juu.
 
Howdy!?

Naona kuna kakundi ka watu wachache humu JF na kwenye mitandao mingine ya kijamii wanaotengeneza hysteria ya uongo kwa kukuza mambo.

Lengo lao ni moja tu, nadhani. Ni kumchafua rais aliyepo madarakani sasa.

Awali mtu ungeweza kusema labda pia hawa watu wanaichukia CCM. Lakini mimi nimehitimisha kuwa wanamchukia zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoichukia CCM.

Na ndo maana wanakuwa wanakuza kuza tu mambo.

Wakiona kijimakala kilichochapishwa kwenye jarida sijui la wapi wapi huko wanakimbilia kuchekelea, kusherehekea, na kupagawa utadhani ni ujio wa pili wa Yesu au kiama.

Oh sijui mpaka wazungu wameandika...sijui wazungu nini nini....who cares what wazungus say?

Mara sijui watu siku hizi wanapigwa risasi! Kwani zamani watu walikuwa hawapigwi risasi?

Mnashangaza sana nyie watu. Mko too hysterical kiasi hata kumbukumbu zenu zimeathirika.

Kikwete aliponunua yale magari ya kupulizia upupu mlilia lia humu na mkamlaani. Leo hii kaja Ngosha Mashine mnajifanya kumkumbuka Kikwete. Ina maana mmesahau kuwa alileta magari 700 na ushee ya kuwapulizia upupu na akawaambia ole wenu mkileta vurugu kwenye uchaguzi?

Mna matatizo sana nyie watu!

Si ajabu mshasahau kuwa Dkt. Ulimboka naye alitekwa na watu wasiojulikana akajikuta yuko Mabwepande huko akiwa hajielewi wakati Kikwete akiwa rais.

Hata yule Kibanda naye si alipigwa na hao hao wasiojulikana kipindi cha Kikwete...

Lakini mnavyopiga mayowe sasa hivi utadhani haya mambo yameanza baada ya Ngosha Mashine kushika hatamu za madaraka.

Acheni kukuza mambo nyie makamanda.

Mliikuza ile njaa weee hadi mkaishia kuumbuka tu mwishowe. Tena hayo matumbo yenu makubwa ndo yaliwaumbua zaidi maana kila nilipokuwa nawauliza kama mmeshinda njaa mlikuwa mnakosa majibu.

Mtaishia kuwa wafa maji tu na huko kutapatapa kwenu.
Umeandika mwenyewe hii makala??!
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu, kwa kuongezea wengine kuna:

Profesa Mwakyusa na Dr Mvungi

Profesa Mwaikusa!!!! Huyu alikuwa wakili akimtetea mshitakiwa wa kesi ya Kimbali, alipigwa risasi nyumbani kwake na mpaka sasa sijasikia kama wahusika wamekamatwa!!!
 
Howdy!?

Naona kuna kakundi ka watu wachache humu JF na kwenye mitandao mingine ya kijamii wanaotengeneza hysteria ya uongo kwa kukuza mambo.

Lengo lao ni moja tu, nadhani. Ni kumchafua rais aliyepo madarakani sasa.

Awali mtu ungeweza kusema labda pia hawa watu wanaichukia CCM. Lakini mimi nimehitimisha kuwa wanamchukia zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoichukia CCM.

Na ndo maana wanakuwa wanakuza kuza tu mambo.

Wakiona kijimakala kilichochapishwa kwenye jarida sijui la wapi wapi huko wanakimbilia kuchekelea, kusherehekea, na kupagawa utadhani ni ujio wa pili wa Yesu au kiama.

Oh sijui mpaka wazungu wameandika...sijui wazungu nini nini....who cares what wazungus say?

Mara sijui watu siku hizi wanapigwa risasi! Kwani zamani watu walikuwa hawapigwi risasi?

Mnashangaza sana nyie watu. Mko too hysterical kiasi hata kumbukumbu zenu zimeathirika.

Kikwete aliponunua yale magari ya kupulizia upupu mlilia lia humu na mkamlaani. Leo hii kaja Ngosha Mashine mnajifanya kumkumbuka Kikwete. Ina maana mmesahau kuwa alileta magari 700 na ushee ya kuwapulizia upupu na akawaambia ole wenu mkileta vurugu kwenye uchaguzi?

Mna matatizo sana nyie watu!

Si ajabu mshasahau kuwa Dkt. Ulimboka naye alitekwa na watu wasiojulikana akajikuta yuko Mabwepande huko akiwa hajielewi wakati Kikwete akiwa rais.

Hata yule Kibanda naye si alipigwa na hao hao wasiojulikana kipindi cha Kikwete...

Lakini mnavyopiga mayowe sasa hivi utadhani haya mambo yameanza baada ya Ngosha Mashine kushika hatamu za madaraka.

Acheni kukuza mambo nyie makamanda.

Mliikuza ile njaa weee hadi mkaishia kuumbuka tu mwishowe. Tena hayo matumbo yenu makubwa ndo yaliwaumbua zaidi maana kila nilipokuwa nawauliza kama mmeshinda njaa mlikuwa mnakosa majibu.

Mtaishia kuwa wafa maji tu na huko kutapatapa kwenu.
Huyu jamaa "ni kigeu geu kama kinyonga".
 
Back
Top Bottom