Hysteria ya uongo!

Hysteria ya uongo!

Nyie watu mnaokaa utumwani, sijui uhamishoni mnaona raha sana ku comment kwenye mambo yanayotokea kwenye nchi ambazo mlishazisaliti tayari. Sijui uchungu huo mnautoa wapi!? ndo maana haishangazi kukuta unaandika pumba kama hii ili mradi upate attention kwamba na wewe upo, ingawaje una stress za kukaaa huko ukimbizini. Nyambaff sana..
Anaongeza idadi ya post zake hapa JF.
Ila usimtukane
 
Kama unafananisha hili jinamizi la awamu hii na awamu zilizopita basi una kichaa. Huyu mkatili na mbaguzi ndiyo unasema anafanana na wengine? Hata Mkapa alikuwa katili lakini alikuwa walau na akili. Halafu mujue mlivyo wabaguzi ndiyo maana mnatetea huu ujinga. Mumekaa kujiona mnajua wakati vichwani mumejaza ujuha!
 
Wewe na Nyani Ngabu sijui mnatetea nini?! Kwamba haya mateso na mauaji kwa wapinzani ni haki yao na wasipige kelele kuitaka Tz bora na ya ki democracy ??!! Au mnamtetea huyu bhuana dhidi ya wapinzani wake kwa sababu hastahili kupingwa kwa hoja yoyote ?! WaTz wote wakishakuwa na mawazo kama yenu, hiyo Tz ya kesho itakuwaje kwa wajukuu zenu?!

Tuwe na uongozi unaoweza kuelezwa mapungufu yaliopo!! Yawe ya kutengenezwa au ya asili, tukiwa na miungu watu malengo ya taifa, kuwa na nchi bora na ya mfano Africa hayawezi kutimia .
Na mabaya yaliotokea awamu ya 1,2,3 na 4 hayatakiwi kuendelezwa kwa kigezo cha Mbona na huko nyuma yalitokea!!!! Natamani tungekuwa na nchi huru kwa watu wote watawala na watawaliwa. Siyo hii ya kumkosoa bwana mkubwa ni tiketi ya kuzimu

Zamani tukizinyooshea kidole mataifa yaliokuwa yakinyanyasa raia wao, leo tunaweza kumkosoa nani hapa Africa?! Kwani mitihani iliwashinda kina Gbagbo, Jahme, Nkurunzinza nk ndiyo yaliotushinda Zanzibar na hata huku bara.
Tatizo sio wasikemee ...tatizo unafiki wa kupitiliza ....hawamjui adui yao halisi ....ndio maana wanamshangilia Kikwete na kusema wanamkumbuka! Ambao si wasahaulifu tunawashangaa! ....ndio maana tunaona tatizo kubwa upinzani ....chuki kwa watu binafsi tu .....kila Rais anayeingia madarakani hugeuzwa shetani ambaye hajawahi kutokea!!! Huu ni ulaghai usiofaa kabisa ....mnajikuta mnapinga tu na kulalama hadi mnaonekana vichaa.....mfano mfumo wa sasa wa kuoneshwa bunge umeasisiwa wakati wa Kikwete ....JPM amemalizia tu utekelezaji ....maana yake angekuwepo JK bunge lisingeoneshwa pia .....sheria ya mitandao mnajua ilitungwa ktk utawala wa JK .....lakini leo mnasema JK ni bora kuliko JPM!!! Wengine mnaenda mbali eti alijua kucheza na hisia za watu!! Seriously!!! Yale ya kuhutubia na kutupa stori za daktari wake na issue ya tezi dume wakati nchi ilikuwa imesimama, bunge limesimama sababu ya Escrow?? Pangeni mikakati ya kufanya siasa zama hizi za JPM badala ya ulaghai wa kitoto hadi wananchi wa kawaida hawawaelewi!!
 
Tukio la mwangosi na muuza magazeti wa morogoro lingetokea sasa sijui ingekuaje
Tatizo la wapinzani wetu hawana kipya cha kuwaambia watanzania,inabidi waungane tu na waathirika wa mabadiliko ya kiuchumi yanayofanywa na Rais wetu ili kumpaka matope
 
Naongezea kubenea alimwagiwa tindikali,ndemara tegabangwe alikatwa mapanga yote yamefutika vichwani mwao!
Hawa watu ni wanafki sana,yani ukiwauliza hbr za jk wanamwaga mapovu hatari.Nafikiri wameapa kupambana na jpm kwa mbinu zzt zile ikiwa na kusafisha utawala wa jk kwa matukio yaleyale yanayotokea utawala Huu.
 
at least kikwete alikuwa anatoa uhuru wa kujieleza,bunge live,mikutano ya siasa
sasa watu wanapigwa risasi na kutekwa na hawaruhusiwi kulalamika
yani ubabe ubabe
Mauaji arusha,Moro,Iringa,ulimboka nk yalikua yanatokana na nn?
 
Nilikuwa nasoma comments za makamanda kule youtube Kikwete akihutubia enzi hizo ....matusi waliyokuwa wanamporomoshea ni copy and paste kwa JPM sasa! Yaani hawa hawajielewi! Wamemsahau Ulimboka, Mwangosi, Kibanda, Kubenea kumwagiwa tindikali, Kamanda Mawazo, kule USA River kuna kiongozi aliuawa kinyama mno! mabomu Arusha tena zaidi ya mara moja watu wakafa na wengine vilema hadi leo, maandamano Arusha ambayo watu waliumizwa vibaya, wamesahau hata yule mtoto aliyemuuliza swali Lowasa akakamatwa wakasema katumwa! yapo mengi mno!! Ila wamefuta yote na sasa JPM ndio shetani dunia nzima!! Hana jema! Wapinzani wetu ni kituko mno!
Nafikiri wanatatizo ktk settings za UFAHAMU wao.Inatakiwa OS ya vichwa vyao ipigwe chini tu na tuinstall mpya.Haiwezekan matukio yote haya anatokea mmoja anakuambia jk alikua mwanademocracy.Huu ni uendawazimu.
 
Kiukweli mnasahau sana. Unajua kelele za sheria za mitandao zilianza lini? Unajua hata issue ya bunge live ilianzia kwa Kikwete na kama angekuwa madarakani yangekuwa haya haya ....mikutano ya kisiasa ipo kikatiba na Rais hana mamlaka ya kukataza! Mbona enzi za JK maandamano yalipigwa marufuku lakini bado watu walilazimisha? Tatizo kwasasa CDM haina ushawishi tena wanatafuta visingizio tu! In short naona CCM wanawapa kiki wenyewe ...wangewaacha muandamane tu ....
Wanachoshindwa kujua ni kwamba hakuna uongoz uliwahi ruhusu maandamano sema uimara wa upinzani kipind hicho waliweza kuforce na ndo maana ktk kila maandamano yao lzm fujo zitokee na nakumbuka uliibuka msemo wa TAARIFA ZA KIINTELEJENSIA na MAAGIZO toka juu.Hawa mapimbi eti haya hawayakumbuki na wanaona hayakuwah kutokea Tanzania.
 
View attachment 722734
Ila tuache utani, mamia kama si maelfu ya maiti zinazookotwa katika fukwe za bahari ya hindi ukanda wa dar es salaam inatoka wapi? Kweli Nyerere alishasema kiongozi akishaonja nyama ya binadamu hawezi kuacha kuitafuta na kula kila siku... huyu jamaa ana kiu ya hatari na nyama za binadamu wenzie
Hao watu hawana ndugu tusikie wakilia kutowaona ndugu zao?Tuseme serikali inahusika,hao watu walifanya nn cha ajabu kias serikali kuona njia mbadala ni kuwapoteza?Nachojua serikali inaweza anagaika na watu wenye ushawishi na wanaweza hatarisha maslai yake,niambie akina nani wamehatarsha maslai ya serikali na hawajulikan wako wap kias tuseme itakua ndio hao waliopatkana ufukweni?
 
Ni kweli hao jamaa ni waongo,lakini ni kwanini wewe usiwe ndiye muongo na hao jamaa wakawa wakweli?Maana umeshindwa kutetea hoja yako kisayansi.
 
unajua kusoma lakini hujui kuelewa
rudi kasome tena nilichoandika na ujaribu kuelewa
Kwamba ulichoandika ni kijeruman au kilugha chenu kias nishindwe kuelewa?Swali nililokuuliza,sio wewe tu,ni Bavicha wote hawawezi kulijibu na hapo dhana ya unafki inapojitokeza.
 
Wanachoshindwa kujua ni kwamba hakuna uongoz uliwahi ruhusu maandamano sema uimara wa upinzani kipind hicho waliweza kuforce na ndo maana ktk kila maandamano yao lzm fujo zitokee na nakumbuka uliibuka msemo wa TAARIFA ZA KIINTELEJENSIA na MAAGIZO toka juu.Hawa mapimbi eti haya hawayakumbuki na wanaona hayakuwah kutokea Tanzania.
Wasichosema ni kuwa siku hizi hakuna masafari ya nje kwa wabunge kama zamani! Hakuna lobbying za taasisi mbalimbali bajeti zipite au kupitisha vitu fulani ....tafuta wabunge waliikuwepo mabunge yaliyopita hasa wa CCM wanasema wazi wengi walivyotengeneza pesa upinzani wakiwepo....chuki ni hicho kibano na kuishi kwa mishahara .....safari za hovyo kufutwa ....ngumu kumeza lakini ni FACT!!
 
Silichukii jiwe, kuna mambo yapo sawa na mengine yameenda mrama..

Tatizo kuna watu wamebobea kwenye tasnia ya ukosoaji na kulaumu kila kitu. Mbaya zaidi unakuta huyo anaetaka mambo yaende sawa, familia inamshinda kuiongoza.

Mwisho, hata kama kuna uvundo ulifanyika tawala zilizopita, ugiligili wowote utakaofanywa sasa na baadae hautanyamaziwa.
Ukisema watu wamebobea kwenye ukosoaji basi ujuwe kuna watu wamebobea kusifia hata mambo ya hovyo hapa duniani.
 
Back
Top Bottom