Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
Nilianza kwa kutumia DI Grow, baadaye nikaona bei yake iko juu .. lita moja 35,000/= Nikapata mkenya mmoja akanielekeza kutumia EM.1 na EMO; lita moja ni Tshs. 9,500/= na lita tano ndo Tshs. 40,000/=. Kwa sasa natumia EMO na mambo yanaenda vizuri sana.Kosa la kwanza nadhani ni virutubisho, sikuweka kirutubisho chochote na kwenye maelezo mengi wanasema unamwagilia maji ya kawaida bila kuchanganya kitu, ni virutubisho gani tunachanganya hapo.
Hatua nyingine nimefuata vizuri tu.