SoC03 T.A.I - Mkombozi Mpya Wa Taifa la Tanzania

Stories of Change - 2023 Competition

kingqusa

New Member
Aug 17, 2022
3
2
Hivi ndivyo ambavyo T.A.I atavyolikomboa Taifa na Ndoto ya Tanzania.

Mfalme Suleiman kama hadithi za vitabu vya Imani vituelezavyo, alikuna ni mfalme wa kale kuwahi kuishi na kutambulika kuwa mfalme mwenye hekima, maarifa na busara nyingi kuwahi kuwapo. Naye kwa busara yake, katika kitabu cha Mithari anatuelezea;

"Mithari 21:5 - Mawazo ya wenye bidii huuendea utajiri tu; Bali Kila mwenye pupa huuelekea Uhitaji."

Basi Hivyo ndivyo TAI huyu mpya mwenye wingi wa bidii na mawazo ya kimapinduzi na ustahimilivu namtabilia kuwa Mkombozi wa Taifa na Ndoto Nzuri ya Tanzania Kwa Wanadamu na Ulimwenguni.

Kabla sijawasilisha ni namna Gani TAI shujaa ataleta ukombozi huu, ningependa kumsindikiza na nyimbo hizi tamu zenye kubeba baadhi ya maudhui ya TAI huyu.

#Naongea Na Vijana -KadGo
#Maisha -WiseZeDamian
#Mapato -SirNature
#All In A Day's Work -DrDre
#Akili -BboyBlackfire
#Umiza Ndonga -Songa
Na Hatimaye,
#Hall Of Fame -TheScript

View attachment 2676949

T.A.I ni 'The-Tanzania-ALTER-Initiative' - Mpango wa Mageuzi Tanzania. Lakini ALTER Ikiwa ni kifupisho Cha "Associative-Long-Term-Evolution-Reach".

Kiujumla tafsiri ya T.A.I ni Mpango Shirikishi wa kuufikia Mageuzi ya Kudumu Tanzania.

Sote tunafahamu uwezo mkubwa wa ndege Tai wa kuona na kuangaza mbali zaidi. ALTER Kwa jicho lake la kiTAI umeangaza mbali na kuuona MZIZI wa changamoto za Taifa letu Changa. Lakini pia Kwa Hali ya umakini na ufanisi TAI huyu ameweza kuliona SULUHU la pamoja la kuweza kuufikia UTATUZI wa changamoto zinazotishia kuliua na kulipoteza Taifa letu jipya ambalo ndilo lililobeba matumaini ya Waafrika na Ulimwengu Mzima Kwa Ndoto na Maono yake yaliyotukuka. #THE-TANZANIAN-DREAM.

Mwl. Julius Kambalige Nyerere kiongozi mbeba maono ya Taifa letu Tukufu, yeye aliweza kuelezea Kwa wepesi kupitia lugha yetu adhimu ya kiswahili na hata nyinginezo Matamanio, Ndoto na Maadhimio ya Waafrika Watanzania. Katika hotuba yake ya kwanza kama raisi halali wa Tanganyika anaeleza;

"... I believe that it's culture is the essence and spirit of any nation. A country which lacks its own culture is no more than a collection of people without the spirit which makes them a nation." JKN 1967, p. 186.

Lakini pia anatambua nguvu ya juhudi na dhamira JITIHADA SAHIHI kwa kueleza pia,

"Our action now are forming the traditions of the FUTURE; what we do and how we react to external events will set pattern which our descendants may find difficult to break."

TAI pia anatambua kuwa UTAMADUNI USIO RAFIKI na MFUMO MIBOVU KANDAMIZI YA KIZAZI ndizo changamoto MZIZI zenye kuzalisha asilimia kubwa ya changamoto za kijamii na kimifumo tunazoziishii katika Taifa na nchi yetu Tukufu, Jamuhuri ya Muungano.

TAI Kwa kuitambua changamoto hii, nje ya NGUZO ya SIASA, ambayo Kwa muundo uliopo katika nchi yetu Kwa sasa, hata Kwa Miaka elfu, hautafanikiwa kuyafikia Maono ya Maisha Bora. La! Nimuundo ambao siku Hadi siku unaendelea kulipeleka Taifa katika Maanguko ya Kutisha zaidi. Hili ni katika Hali za kukidhi uroho na ulafi wa Asali kidogo tu! wa wajanja wachache.

Mpango wa TAI unaleta na unatumia TiBA [Technology, Innovations, Investments, Business na ALTER's Ideology] katika Hali ya kuleta mapinduzi ya aina yake Kwa Taifa. Pasi shuruti wala kulazimu Bali Kwa hamasa ya mvuto kwa wahusika "Conditioning and Mental Reprogramming". Kwa kutumia nyezo hizo, yaani "TiBA", TAI anatarajia kufanikisha MAGEUZI SHIRIKISHI YA UTAMADUNI Tanzania- "A Democratic Cultural Reform Movement"

Nadhalia Muhimu ya Je! ni vipi hili lawezekana!

Katika Hali ya kuubeza muundo wa kisasa uliofeli na unaofeli Vibaya mno katika kulikomboa Taifa namualika @MbarakaMwishee auimbe wimbo wake mtamu wa #'-TAI-' La Shamba.

Kiongozi wa kiroho maarufu Dalai Lama ananukuliwa kuwahi kueleza "If you think you are too small to make a difference, then try sleeping with a mosquito"

Hakika hata Jogoo wakiungana, kuku hawataliwa siku ya Sikukuu.

Njia kuu TAI anakwenda anazitazama na kuzitatua changamoto za Kijamii ni Conditioning and Mental Reprogramming kama ilivyoelezwa awali. Hii ni Kwa kuzalisha UZOEFU "Experience" ambayo itakua na nguvu kubwa ya kumsukuma mtu mmoja mmoja kubadili aina yake ya tabia na Hali yake ya kutamani njia mpya za ukuaji na mabadiliko katika maisha yake. Process hii ya Kucondition na Kureprogram inaweza fanikishwa Kwa kuiexpose Jamii kwenye Mifumo na bidhaa Bora za kibunifu zilizopandikizwa ideolojia au algorithm bandia zenye kubeba mtiririko wa athari "Effects-Chain" kama ilivyo kwenye mduara natharia ufuatao.

TAI inatumia mduara wa mahusiano uliopo baina ya WATU"Pe"-JAMII"S", JAMII-UTAMADUNI"C", UTAMADUNI-MIFUMO"Sy", MIFUMO-UBUNIFU"I" hatimaye mduara unakamilika au kufugwa na UBUNIFU-WATU.

Ili kuishi, kuwa salama na katika kujikidhi na kuyafikia mahitaji yake yote, mwanadamu anaihitaji JAMII. Kupitia jamii mwanadamu atashare Imani na misingi ambavyo ndivyo basis ya maadili, Nidhamu na kiini cha aina yake upekee katika misimamo, misukumo na Hali, ambavyo vitawasaidia katika ujumla wao wanajamii hao kulifikia lengo lao kuu 'a common goal'. Hivyo basi Ili jamii hiyo ikue na iendelee kuwapo inawabidi wanajamii hao washirikiane. Katika kushirikiana wanajamii, hutengenezwa MIFUMO ya mahusiano, uongozi, usimamizi, unururishaji na mfumo kadhalika ya KIJAMII"S", KIUCHUMI"E" na KISIASA"P".

Hata hivyo Imani ya mwanadamu Huwa inabadilika kulingana na kiwango chake cha ufahamu na utambuzi. Mwanadamu kulingana na makusanyo ya ufahamu na ujuzi huwa anayamudu "challenge" mazingira Kwa kubuni, kuumba na kuzalisha maana mpya kupitia kufunuliwa "enlightenment". Hivyo basi huzibadili katika uhalisia pasi kulazimishwa Imani zake za kale. Kwa kufanya hivyo huiboresha na kuiimalisha Mifumo yake ya kale katika Hali ya ubunifu kulingana na hali yake ya ufahamu alioung'amua au kuufumbua.
Mduara huu wa adhari hujirudia Tena na Tena. Kadri bunifu zinavyoendelea kufungua Milango mipya ya mitazamo endelevu ndivyo athari za bunifu hizo husababisha Mabadiliko katika Hali za maisha ya wanajamii hao.

View attachment 2676948

Sote tunatambua kiushahidi wa athari za ukoloni, Utumwa wa kifikra na Utandawazi katika hali ya kuchochea changamoto nyingi tunazoishi nazo katika jamii.

Hivyo Hivyo TAI anajiona nafasi hiyo kwa kutumia secta binafsi chini ya kampuni mama la uwekezaji la BROS, kuleta aina hii mpya ya muelekeo wa kimapinduzi utakao athiri jamii, uchumi na hata miundo na mifumo ya siasa katika Taifa letu la Tanzania ambalo ni Mwangaza na Tumaini Kwa Afrika, Ulimwengu na Haswa WANYONGE.

T.A.I kaona na hakika kazinyoosha mbawa zake kulikabiri window lake.

Na hivyo ndivyo TAI anakuja kulikomboa Taifa.

#Naongea Na Vijana.

"Nothing is more powerful than an idea whose time has come"
 
Back
Top Bottom