Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

Kosa la kwanza nadhani ni virutubisho, sikuweka kirutubisho chochote na kwenye maelezo mengi wanasema unamwagilia maji ya kawaida bila kuchanganya kitu, ni virutubisho gani tunachanganya hapo.
Hatua nyingine nimefuata vizuri tu.
Nilianza kwa kutumia DI Grow, baadaye nikaona bei yake iko juu .. lita moja 35,000/= Nikapata mkenya mmoja akanielekeza kutumia EM.1 na EMO; lita moja ni Tshs. 9,500/= na lita tano ndo Tshs. 40,000/=. Kwa sasa natumia EMO na mambo yanaenda vizuri sana.
 
Mkuu ningependa kujua ni nutrients gani hutakiwa wakati wa kuotesha na kukuza Hydroponic Folders sababu ni sharti iwe in liquid form. Na sisi tumezoea mbolea za viwandani ni crystal form au Mboji.
Tafuta EMO inafaa sana; kama unahitaji tuwasiliane ipo ya kutosha.
 
J & B hatutengeneze mashine za hydroponics bali tunatoa ushauri na mafunzo ya kuotesha fodder. Pia tuna uza trei kwa ajili ya kuoteshea fodder.
 
EMO FERT.jpg
 
Alminium tray.jpg

Hizo ni trei mpya zinamwendea mteja wangu yuko Songea. Kwa mahitaji ya trei safi tuwasiliane kwa namba 0655-533543. Pia mafunzo yanaendelea kutuoni kwetu jijini Mwanza (MDI Youth Centre)
 
Mamboz !
Mimi nina maswali naomba tusaidiane kuyajibu
Nina Ng'ombe 3 wa Maziwa ambao kila mmoja anatakiwa apate kati ya kg 25 mpaka 30kg za chakula Maswali

1. Jee tengeneza HF system ambayo inaweza kuwalisha Ng'ombe wote 3 kila siku ?

2. Jee HF inajitosha au nitahitaji kuongeza chakula kingine kama kwa Kuku ?

3. Tray ya ukubwa gani naweza weka 1 Kg ya Ngano, Uwele, Mtama, Shayiri, Ulezi, Mbaazi na Mahindi ?

4. Nini ratio ya boosters(mbolea) ukichanganya kwa maji

5. Nikiwa nahitaji takriban kg 90 za HF kila siku Mahesabu yake yatakuwaje
× Nitahitaji tray za ukubwa gani ?
× Nitahitaji mbegu kg ngapi?
× Nutrients/boosters kiasi gani ?

Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nIMEELEA JAPO SI SANA, SIJUI NAWEZA PATA WAPI VITABU VYA KUELEZEA VIZURI NAMNA YA KUAPPLY HII KITU
em uningia google au hata you tube jiongezee maarifa Wakenya wanatumia sana utakutana na hangamoto zake si rahisi kama wa vyosema mm i mkulima na mfugaji nimeijaribu tatizo ku wa ni nafaka unatakiwa utumie Mahindi barley ngano mtama nk mazaho haya ni ghali uoatikanaji wake mfano ngano ya shsiri utaitoa wapi
 
Mamboz !
Mimi nina maswali naomba tusaidiane kuyajibu
Nina Ng'ombe 3 wa Maziwa ambao kila mmoja anatakiwa apate kati ya kg 25 mpaka 30kg za chakula Maswali

1. Jee tengeneza HF system ambayo inaweza kuwalisha Ng'ombe wote 3 kila siku ?

2. Jee HF inajitosha au nitahitaji kuongeza chakula kingine kama kwa Kuku ?

3. Tray ya ukubwa gani naweza weka 1 Kg ya Ngano, Uwele, Mtama, Shayiri, Ulezi, Mbaazi na Mahindi ?

4. Nini ratio ya boosters(mbolea) ukichanganya kwa maji

5. Nikiwa nahitaji takriban kg 90 za HF kila siku Mahesabu yake yatakuwaje
× Nitahitaji tray za ukubwa gani ?
× Nitahitaji mbegu kg ngapi?
× Nutrients/boosters kiasi gani ?

Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
NASHAURI UINGIE GOOGLE AU YOU TUBE UTAKUMBANA NA ELIMU KABLA HUJAENDA MBALI
 
em uningia google au hata you tube jiongezee maarifa Wakenya wanatumia sana utakutana na hangamoto zake si rahisi kama wa vyosema mm i mkulima na mfugaji nimeijaribu tatizo ku wa ni nafaka unatakiwa utumie Mahindi barley ngano mtama nk mazaho haya ni ghali uoatikanaji wake mfano ngano ya shsiri utaitoa wapi
Unataka ngano kiasi gani nikutumie ... Kg moja Tshs. 1500/=
 
Mamboz !
Mimi nina maswali naomba tusaidiane kuyajibu
Nina Ng'ombe 3 wa Maziwa ambao kila mmoja anatakiwa apate kati ya kg 25 mpaka 30kg za chakula Maswali

1. Jee tengeneza HF system ambayo inaweza kuwalisha Ng'ombe wote 3 kila siku ?

2. Jee HF inajitosha au nitahitaji kuongeza chakula kingine kama kwa Kuku ?

3. Tray ya ukubwa gani naweza weka 1 Kg ya Ngano, Uwele, Mtama, Shayiri, Ulezi, Mbaazi na Mahindi ?

4. Nini ratio ya boosters(mbolea) ukichanganya kwa maji

5. Nikiwa nahitaji takriban kg 90 za HF kila siku Mahesabu yake yatakuwaje
× Nitahitaji tray za ukubwa gani ?
× Nitahitaji mbegu kg ngapi?
× Nutrients/boosters kiasi gani ?

Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitaalamu ni kwamba ng'ombe mmoja anapaswa kutumia fodder Kilo 13 tu, hivyo kwa ng'ombe wako watatu wanatumia trei 3 kila siku.

Kwa maana hiyo unapaswa kuwa na trei 24, ambapo kila siku utaotesha trei tatu na kila siku utavuna trei 3.

Nutrients mi natumia EMO; nilianza na DI baadaye nikaona bei inanipeleka mbio

Mbegu Kila siku utapanda kilo sita za ngano

Ukubwa wa trei ni ule ule sm 80 x 40 x 6.

Swali jingine kama lipo?
 
Shukran hizo vipimo ni centimeter nadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom