Chief Godlove hajafulia🤭 masikini walifurahia bure janaa😫Kwani kuna nini??
Ule wivu ni kitu cha asili mkuu. Unachofanya baada ya kuhisi wivu ndo changamoto.Dalili kubwa ya mtu masikini ni kufurahia maanguko ya wengine.
😂😂😂😂
Wivu ni asili, kufurahia anguko la mwenzako ni uchawi.Ule wivu ni kitu cha asili mkuu. Unachofanya baada ya kuhisi wivu ndo changamoto.
Jamanii em nifafanulie, mbona nimepitwaaa??Chief Godlove hajafulia🤭 masikini walifurahia bure janaa😫
Wewe utakuwa ni homeless crackhead kwa kweli.
Bange mbaya sana Maarassmita 😂 😆Oyaa kaka ulikosea sana jana kuleta habari bila kuthibitisha. Sasa angali furaha yote imetoweka. Wewe ndo wakulaumiwa. Mungu tusaidie sasa agongewe demu yake tufurahi.
Naombea urudishwe mamatoni uje ulime viazi mbusi wewe Maarass.This really sucks maamae why? Mimi hata Jeff Bezoz aliposhuka tajiri namba mbili hadi nne nilisheherekea balaa. Sasa leo Afcon tutaangalia kwa huzuni.
adriz wew ndo wakulaumiwa mbusii wewee.
NakaziaTwende mbele turudi, umasikini mbaya sana. Huyu jamaa kuna mambo ya kweli huwa anaongea ndani ya ushamba wake.
Tutafuteni pesa wazee, roho za masikini ni kufurahia maanguko ya wengine
Nakuangalianga hivi nashindwa ni kama uko na akilii🤣🤣🤣🤣Jamanii em nifafanulie, mbona nimepitwaaa??
Kwahiyo ndio huwa anatoa michongo ya kupata hizo pesa za mizimu kwa zile gharama za laki mbili kujiunga?Yule jamaa hela zake za mizimu haruhusiwi kumbato demu na siku akimbato tu kila kitu kitafiridhika
Hizo ananunua mafuta tu full tankKwahiyo ndio huwa anatoa michongo ya kupata hizo pesa za mizimu kwa zile gharama za laki mbili kujiunga?
Sio 10000 zaidi ya 20KFikiria watanzania 10,000 waliokufa 29th October bila HATIA yoyote, huyo MBUZI kama magari ni yake ama kaiba yanaihusu nn? Tanganyika ndiyo jambo la muhimu ili ukifa wewe wajukuu zako walikute hili taifa huru na linanawiri.
Achaneni na mambo ya kipumbavu.
Naona hapo bhangi inameng'enywa kwenye ubongo wakoOyaa kaka ulikosea sana jana kuleta habari bila kuthibitisha. Sasa angali furaha yote imetoweka. Wewe ndo wakulaumiwa. Mungu tusaidie sasa agongewe demu yake tufurahi.
Mbona hii video ni super imposed, hiyo jamaa hayupo hapoWuiii uuuruuuu wiyooo ni huzuni na maumivu. Jana tu tulikuwa na furaha Chief Godlove kafulia baada ya habari kusambaa mitandaoni magari yake yakichukuliw.
Vijiwe vya umbea na vibaraza vilichangamka balaa. Tukajuwa mwana wote tuko sawa. Hadi tulimshukuru mungu kwa faraja ya kipekee.
Lakini furaha yote imetoweka kumbe yale magari bado ni yake yalikuwa yanapelekwa Nairobi alipo sasa hivi.
Ni pigo kubwa sana kwa maskin.
Mungu tusaidie tena kuwa na furaha hata mfanye tu Elon Musk ashuke hadi dollars billion 15.
Jana usiku tulilala na furaha with out empty stomachs happy leo tutalala na huzuni with our still empty stomachs.
MODS please mtufariji watu wenu asee.
View attachment 3529828