Huzuni: Jini aondosha uhai wa dereva Bodaboda

Huzuni: Jini aondosha uhai wa dereva Bodaboda

Mkuu, niulize kidogo japo sijui kama we ni Ke au Me. Hivi kwanini simulizi za namna hii mara nyingi majini yanakuwaga ya kike tu. Sijawahi kusikia Jini la kiume limempoteza au limemtokea mwanamke..! Hii imekaaje
Coz wanawake huwa hawatamani wanaume
 
Hakuna jini wala majini. Kilichopo ni ugonjwa wa akili.

Kama majini kweli yapo, yaleteni kwangu tuone.
 
Na hili suala la kila mwanamke kuonekana kama ni danga humo mabarabarani, vijana wajitafakari sana.

Halafu mwanamke wa mwendo kasi kwanini usimlipe? Sasa limeenda kumuoa yeye mazima.

Pole yake apumzike kwa amani.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hakuna jini wala majini. Kilichopo ni ugonjwa wa akili.

Kama majini kweli yapo, yaleteni kwangu tuone.
Ngabu uliyonayo yanakutosha...na hayo yako yamesimamia ukucha kwenye kupenda nyapu[emoji2827][emoji2827][emoji16]
 
Watu wengine ubishi hatuuwezi kama huamini nikupe adress uje ufuatilie hio kisa ,habari ndio imetrend sana huku
 
Ukikutana na mrembo anaenukia kama harufu ya ua zuri, kaa mbali nae, huenda kijana aliona ishara fulani akapuuzia.
 
Kwenye hii stori ya kutunga nimejifunza majini sio watu wazuri😂😂
 
Back
Top Bottom