Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 752
- 1,106
Yanajua wa kufanana nao.
Yeaah ni kweli, ila sababu nyingine ni kwamba yanaogopa kuombwa ombwa hela[emoji16][emoji16]. Maana hawa wenzetu kwa kuomba omba hela hawajambo
Yanajua wa kufanana nao.
Manka we unataka mpaka uandaliwe ehYaani unakutana tu na mwanamke na mzuka tayari mnakuwa kama jogoo?
Six and three zeros[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Elf sita au elfu sitini? Ubahili mwingine unapitiza.
Sasa jamani umepata mteja hapo hapo suluali inatuna?[emoji23][emoji23]Manka we unataka mpaka uandaliwe eh
You made my day dude hahahahahMaisha magumu hadi jini anaua kwa sababu ya elfu sita asante magu kwa kutunyoosha hadi majini yanaisoma namba[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi mkuuWatu wengine ubishi hatuuwezi kama huamini nikupe adress uje ufuatilie hio kisa ,habari ndio imetrend sana huku
hivi majini kutopenda nguruwe kuna connection na ile dini ya wanaojilipuaMimi nikikutana na ishu Kama hiyo ni kununua nguruwe namkata vzr kila siku nakaanga kila baada ya dakika tano natupia vinyama vya hapa na pale huku toothpick yangu ikiwaa n mfupa wa nguruwe haitoki mdomoni.
Imeisha hiyo.
Nasikia yapo mengine yanakula iyo kitu!hivi majini kutopenda nguruwe kuna connection na ile dini ya wanaojilipua
Dah buku sita[emoji28][emoji28],me nkikupa ela ya chini sana bas ujue ni buku kumi na tano au twentySix and three zeros[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio,we inachukua mda gan kulowa chupi?Sasa jamani umepata mteja hapo hapo suluali inatuna?[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
The money given is equivalent to the work done au hata show iwe kiwango cha tope kidau kipo fixed! Mi nishaamua ugomvi bar dem analalamika kapewa buku! Tena hii 2020!Dah buku sita[emoji28][emoji28],me nkikupa ela ya chini sana bas ujue ni buku kumi na tano au twenty
Yes, kama halipendi mambo ya kisenge! Na boda boda akamletea uhuniYani jini likuue kisa elfu sita
Shangaa na weweYani jini likuue kisa elfu sita
Wanaume wana tamaa sana...wanadakwa na huo mtego ( kama upo)Mkuu, niulize kidogo japo sijui kama we ni Ke au Me. Hivi kwanini simulizi za namna hii mara nyingi majini yanakuwaga ya kike tu. Sijawahi kusikia Jini la kiume limempoteza au limemtokea mwanamke..! Hii imekaaje
Maisha magumu hadi jini anaua kwa sababu ya elfu sita asante magu kwa kutunyoosha hadi majini yanaisoma namba[emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha magumu hadi jini anaua kwa sababu ya elfu sita asante magu kwa kutunyoosha hadi majini yanaisoma namba[emoji23][emoji23][emoji23]