Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,168
- 143,943
Yaje popote pale nilipo..Yaje Marekani ?

Honestly sina elim na majin .Mkuu, niulize kidogo japo sijui kama we ni Ke au Me. Hivi kwanini simulizi za namna hii mara nyingi majini yanakuwaga ya kike tu. Sijawahi kusikia Jini la kiume limempoteza au limemtokea mwanamke..! Hii imekaaje
Mkuu, niulize kidogo japo sijui kama we ni Ke au Me. Hivi kwanini simulizi za namna hii mara nyingi majini yanakuwaga ya kike tu. Sijawahi kusikia Jini la kiume limempoteza au limemtokea mwanamke..! Hii imekaaje
Hv hamtutamani kabisa!!?Coz wanawake huwa hawatamani wanaume
Hadithi za vijiwe vya kahawa hivyo.Huku maeneo ninapoishi katika Stend ya Bodaboda kuna jambo la kuhuzunisha lilitokea majuma kadhaa nyuma.
Dereva mmoja wa Bodaboda alimpakia abiria wa kike mida ya usiku sasa dereva yule alivutiwa na abiria wake akawa anampigisha sound mwisho wa siku Binti yule alikubali wakaelekea hadi chumbani kwa yule jamaa wa Bodaboda.
Jambo ambalo kijana yule alikuwa hafamu ni kwamba abiria yule na binti yule hakuwa binaadamu wa kawaida bali alikuwa ni Jini aliyejifananisha mithili ya binaadamu. Kufika chumbani wakafanya yao sasa walivyomaliza starehe yule Dada jini akamuomba kijana yule 6000 kama takrima ya kumfurahisha kijana yule.
Yule dereva aligoma alileta usela yule Dada jini akamuambia sehemu fulani umeficha elfu moja moja kadhaa, sehemu fulani umeficha elf tano na elf mbili nk.
Yule kijana akawa hataki kutoa ile 6000 tu japo alipatwa na wasiwasi. Dada akatoa kauli ya kitisho wewe si mbishi utaona
Kesho yake yule dereva akawa hayuko sawa alionekana ni mtu wa stress, alivyowasimulia wenzake kwenye kijiwe cha Bodaboda jamaa zake wa maskani walimshauri amtafute upesi ampe pesa ile sasa yule Dada akaibuka nyumbani kwa yule Bodaboda tena chumbani anatoka wakati hakuwepo akawaachia neno wapangaji wenzie yule kijana kisha akatoweka
Nguvu ya jini yule kijana bila kujielewa akawa analazimisha safari ya kwenda Cocobeach aliratibu kila kitu kwenye safari ilipofika ijumaa alienda na wenzie beach cha kushangaza watu waliona yule kijana akidakwa na kuzamishwa baharini wakatoa taarifa kwa polisi wa patrol kesho yake sehemu alipozamishwa ilikutwa mwili wake.
Msiba ulifanyika na michango ilitolewa, Usiku kuna mengi.
Ndo madhara ya kupenda vya bureElf sita au elfu sitini? Ubahili mwingine unapitiza.
Hilo jini Ni wewe.Huku maeneo ninapoishi katika Stend ya Bodaboda kuna jambo la kuhuzunisha lilitokea majuma kadhaa nyuma.
Dereva mmoja wa Bodaboda alimpakia abiria wa kike mida ya usiku sasa dereva yule alivutiwa na abiria wake akawa anampigisha sound mwisho wa siku Binti yule alikubali wakaelekea hadi chumbani kwa yule jamaa wa Bodaboda.
Jambo ambalo kijana yule alikuwa hafamu ni kwamba abiria yule na binti yule hakuwa binaadamu wa kawaida bali alikuwa ni Jini aliyejifananisha mithili ya binaadamu. Kufika chumbani wakafanya yao sasa walivyomaliza starehe yule Dada jini akamuomba kijana yule 6000 kama takrima ya kumfurahisha kijana yule.
Yule dereva aligoma alileta usela yule Dada jini akamuambia sehemu fulani umeficha elfu moja moja kadhaa, sehemu fulani umeficha elf tano na elf mbili nk.
Yule kijana akawa hataki kutoa ile 6000 tu japo alipatwa na wasiwasi. Dada akatoa kauli ya kitisho wewe si mbishi utaona
Kesho yake yule dereva akawa hayuko sawa alionekana ni mtu wa stress, alivyowasimulia wenzake kwenye kijiwe cha Bodaboda jamaa zake wa maskani walimshauri amtafute upesi ampe pesa ile sasa yule Dada akaibuka nyumbani kwa yule Bodaboda tena chumbani anatoka wakati hakuwepo akawaachia neno wapangaji wenzie yule kijana kisha akatoweka
Nguvu ya jini yule kijana bila kujielewa akawa analazimisha safari ya kwenda Cocobeach aliratibu kila kitu kwenye safari ilipofika ijumaa alienda na wenzie beach cha kushangaza watu waliona yule kijana akidakwa na kuzamishwa baharini wakatoa taarifa kwa polisi wa patrol kesho yake sehemu alipozamishwa ilikutwa mwili wake.
Msiba ulifanyika na michango ilitolewa, Usiku kuna mengi.
Hadi majini yanadanga, kweli kwenye utawala wa jiwe vyuma vimekaza kuanzia ardhini na majini.Matukio kama hayo yamekithiri kwa sasa lakini ni vyema kutumia akili tusiishi kama wanyama .. kuzoazoa mpaka maji yasozoleka ni hatar... dunia inaenda kwa kasi na maradh ni mengi. Ni vyema kutulizana.
Umeona eeh!!?Huyu siyo....aiseeHilo jini Ni wewe.
Wewe hiyo scenario yote umeijuaje? Au unaandika scripts ukauze bongo movie?
HahaaaMaisha magumu hadi jini anaua kwa sababu ya elfu sita asante magu kwa kutunyoosha hadi majini yanaisoma namba[emoji23][emoji23][emoji23]