Huyu uliye nae sasa ni wangapi tangu umeanza?

Blaki Womani mzima sana dear
Ndo hapo anatukumbusha mengi hajui kuanzia kombolela, kibaba na mama, ukwata na tycs na graduation na semina na kongamano na warsha na mkutano wa injili na wa siasa, mbio za mwenge, umiseta, umitashumta, ahhhh

duh......kama ni kweli, basi mnatisha wakuu!! Mwee
 
Last edited by a moderator:
kuna halima,mwanajuma,jenifa,doreen,wastara,aby,fetty,priss,tabu,lina,blandina,ashura,biafra,jisha-huyu muhindi,mirreile-huyu franch speaking gel,colle,sabina...opps...and much more!!!!!~!~!!!!!
kaka mbona unata majina ya wake zetu,,,inauma unajua,,,ohooo,,tutaonana wabaya,,,,
 
Mimi niliokuwa nao siwezi nikajua kwa sasa maana nimedirit file la Wapenzi wote Wa nyuma kwa sasa ninampenzi mmoja Wa ukweli tena mwaminifu nimejitoa ktk mtandao Wa Mapenzi
 
Nimepitia hapa nione kina dada watasema wangapi. So far ni mmoja tu kajaribu; na my shosti Erotica aliweka wazi zamaani, kuwa amefikisha 39 tu. Nasema tu kwasababu odadi ni ndogo ukilinganisha na yangu (52) na wanaume wengi waliotaja.

Wadada wengi humu ni 2 au 3 tu!
 
Last edited by a moderator:
Nimepitia hapa nione kina dada watasema wangapi. So far ni mmoja tu kajaribu; na my shosti Erotica aliweka wazi zamaani, kuwa amefikisha 39 tu. Nasema tu kwasababu odadi ni ndogo ukilinganisha na yangu (52) na wanaume wengi waliotaja.

Wadada wengi humu ni 2 au 3 tu!


Darling love Kaunga, teh teh teh. wewe weka siri hiyo number,

one of us kuwa kicheche is draivin some nuts, seuz watambuwe na wewe?

wasije andamana na kutuombea ban kwa Invisible. watu wanataka tuwe watakatifu kama

wadada wa jf ambao wengi ni mabikira na hawaongeag kuhusu sex kwani ni dhambi kwao.

come this way.......................... mwaaaaaah.
 
Does it really matter?

Anyway, ingekuwa uzoefu huu nao nautumia kuombea kazi ningekuwa CEO wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Ngoja nipite,nitaje wangapi???????mambo ya ktiana aibu hayo sasa.
 
Back
Top Bottom