Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

Waambieni hao PSU waliovalia magwanda wavae bullet proof.Walinzi gana hao hawana hata mayoko? Watakufa kizembe.
 
Soldier maana yake ni nini?

PSU wanatoka tu mtaani bila kuwa ma soldier?
Zingatia itifaki.
Screenshot_20210709-151231.jpg
 
Rejea historia ya mama Indira Gandhi.
..ungefafanua zaidi kuhusu kifo cha Indira Gandhi.

..kwanza, alikuwa na waziri mkuu mwanamama wa India.

..pili, Indira Gandhi aliuwawa na mlinzi wake mwenye asili ya Kalasinga, yaani wahindi wanaovaa vilemba.

..tatu, serikali ya Indira Gandhi na majeshi ya India yalikuwa na mgogoro na Makalasinga.

..nne, majeshi ya India / Indira Gandhi yaliuwa watu na kuchoma / kulipua msikiti mkubwa wa Makalasinga na kusababisha uhasama mkubwa.

..mlinzi / body guard wa Indira Gandhi alimuua bosi wake kulipiza kisasi kwa maovu ya serikali ya India dhidi ya jamii yake.

Cc Maghayo
 
Asante. But one question do you think those elites do not represent any fomal forces of sovereign state like Tanzania?
View attachment 1847465
Yes majeshi yakitajwa rasmi wao hawapo, wala hatusikii wakitambulishwa . Lakini wengine tunasikia jeshi la Polisi, Magereza, kujenga Taifa, Wananchi, Zimamoto n.k ngoja waje wenye kujua zaidi wengine uelewa wetu umeishia hapo, tunajua sana mahesabu ndio fani yetu
 
..ungefafanua zaidi kuhusu kifo cha Indira Gandhi.

..kwanza, alikuwa na waziri mkuu mwanamama wa India.

..pili, Indira Gandhi aliuwawa na mlinzi wake mwenye asili ya Kalasinga, yaani wahindi wanaovaa vilemba.

..tatu, serikali ya Indira Gandhi na majeshi ya India yalikuwa na mgogoro na Makalasinga.

..nne, majeshi ya India / Indira Gandhi yaliuwa watu na kuchoma / kulipua msikiti mkubwa wa Makalasinga na kusababisha uhasama mkubwa.

..mlinzi / body guard wa Indira Gandhi alimuua bosi wake kulipiza kisasi kwa maovu ya serikali ya India dhidi ya jamii yake.

Cc Maghayo
Ahsante kwa historia
 
Yes majeshi yakitajwa rasmi wao hawapo, wala hatusikii wakitambulishwa . Lakini wengine tunasikia jeshi la Polisi, Magereza, kujenga Taifa, Wananchi, Zimamoto n.k ngoja waje wenye kujua zaidi wengine uelewa wetu umeishia hapo, tunajua sana mahesabu ndio fani yetu
Mkuu paramilitary ndio la akiba? Zamani mgambo (tusaminiwe)neno la kitaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom