Elections 2015 Huyu siyo Edward Lowassa ninayemfahamu kabla ya kujiuzulu 2008!


Mkuu, watu wamejiandikisha Sana. Hiki kipindi Ni tofauti kabiss Na 1995, watu wameamua,wamesimama muda Mrefu kwenye foleni Ili Tu wajiandikishe. Sasa hivi wanachofanya CCM kupitia NEC Ni kuwahujumu watu hasa vijana Ili wakose sifa ya kupiga kura.

Na ww unaonekana Ni mmoja Kati ya waliotumwa kupima kina cha bahari kwa njiti ya kiberiti.

Je, ishawahi kutokea Tz watu wakapigana sababu ya foleni ya kujiandikisha??? Jibu Ni hapana but this time it has happened.

Watu wametumia ubunifu wa kila aina Ili Tu wajiandikishe " kumbuka wale wadada wa maboksi dar-waliojifanya Ni wajawazito. So stop fooling yourself comrade.
 
Anadungwa sindano after evry 6 hrs. Watanzania wanajiandaa igeuza ikulu ICU. MACHINGA,MAMA NTILIE ,BODABODA. MACHINGA, MAMA NTILIE, BODABDA.!!

Hata akidunga sindano mbona hawatoki akilini mwenu. Mna shida kubwa sana. Subiri Oct 25 povu liwatoke. Narudia tena "anticipation of death is worse than death itself"
 
Hivi unaamini kabisa ccm inaweza kukubali itolewe madarakani tena na lowass! Nyie mshukuru mtaongeza idadi ya wabunge tu,muulizeni mrema au huyo maalim seif

Mkuu, nyakati za Mrema Na hizi ziko tofauti Sana. Hats uelewa wa watu kuhusu vyama vingi by that time Ni mdogo.

Kipindi hicho mtu anapiga kura anakwenda nyumbani. Cku hizi tunaoiga kura tunazilinda, hakuna kulaa.

Kuhusu maslim seif, hajawahi kushindwa tokes 1995 -2010, huo anadhulumiwa kwa nguvu Sana, sometimes wanabadilisha Tu kwa kutamka full stop. But now ujanja utawaishia Tu!

Mtaiba Sana lkn kura hazitatosha kuwapa ushindi.
 
we, waambie chama chako wasiondoe majina uone kazi. watu tumelala vituoni halafu unasema hatujajiandikisha? ndoroobo wewe

Mkuu NapigaNgumi, hapo Tu ndio nilimpomshangaa huyo mwanajf. Na ndio maana nashawishika kusema katumwa kupima kina cha bahari.
 
Last edited by a moderator:
Waaambie watanzania sio wajinga huo umati mnajiaminisha mtashinda never

Wanamshangaa kikongwe aliyehama chama, mtu mzima tena mzee anahama mji wake ..si siri Lowassa atakuwa ana matatizo makuuuubwa sana sijapata kuona ..
 
Mbona hata wewe unatofauti kubwa kati ya mwaka 2008 na sasa hivi baada ya kuolewa?
 

Teh teh teh! Lowasa ni sheedah. Kuna watu watapata kiharusi kwa sababu ya Lowasa.
 
Last edited by a moderator:
Nguvu ya umma ikiamua hata angekuwa maiti wapo tayari kumchagua! CCM Imefika hatua wanaleta dharau za waziwazi kwa wananchi wake...sasa wananchi wamechoka kudharauliwa na kunyanyaswa kila siku, wameamua kujaribu mtu na chama kingine!
Mkuu,
Ni kweli kuchagua ni haki ya msingi ya raia katika msingi wa demokrasia.

Maiti anaweza kuchaguliwa lakini hawezi kushinda katika uchaguzi.

Wananchi wamekuwa wakichagua vyama na wagombea mbali mbali tokea mfumo wa vyama vingi uanze.

Hata uchaguzi huu watafanya hivyo hivyo.

Hoja yangu imejikita kwenye kupambanua na kutaka kuelewa kile ambacho kimembadilisha Lowassa niliyekuwa ninamfahamu.

Halafu nadhani unaongea kama vile uchaguzi umeifanyika!
 
Mlivyokuwa mnamnyanyasa ccm na kumfanyia kila aina ya hila ulitarajia abaki vilevile?
Mkuu,
Hii ni ngumu kumeza na kukubaliana nayo.

Lowassa ni kati ya watanzania wachache wanaopata huduma za kimaisha kwa kutumia kodi yetu.

Sidhani kama hii ni hoja yenye ukweli!
 
...maana hizi nguvu za umma hazikushawishiwa kujiandikisha...uko mikoani[/QUOTE]

Nina mashaka!!!
 
Lowasa wa sasa ni mgonjwa. Hilo halina ubishi na Watanzania wanaojielewa hawako tayari kuchagwa mgonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…