Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Nakushangaa mkuu unasema anaenda kama nani wakati unasema walipata mtoto, unataka mtoto aende kwenye msiba wa babu yake bila mama?
 
Tumechoka kuwashauri nyie wasenge, tumeshasema single maza anayepaswa kuolewa ni yule aliyefiwa tu na mumewe hao waliobaki ni wa kupiga miti na kusonga mbele.
Kama mwanaume mwenzio kamshindwa wewe ni nani umuweze?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeandika kwa jazba Sana mkuu.
 
Hakuna state ambayo wanawake wananyanyasika kama asipokua na kitu cha kumuingizia fedha kidg...umesema amezaa na jamaa kwahiyo hapo mwanayr amefiwa na babu...kwahiyo asiende kisa? Si anaenda kwasababu amechangia damu huko?
Mie naenda sana na huna la kunifanya[emoji57]! Unataka maisha yasimame kisa umemtangazia unamuoa? Ase!
Hoja ya msingi kabisa[emoji106]

Sema busara inatakiwa itangulie kuiwasilisha,
Maana kwa mtizamo wa haraka haraka haijakaa sawa.
 
Hapo vip!!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.

Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na mdada mmoja ambaye tulimaliza naye chuo, na kwa bahati nzuri nilikuwa nasoma naye course moja na pia tulikuwa group moja kwenye discussion. Hivyo na mfahamu kwa kiasi alikuwa ni binti mwenye msimamo kwenye mahusiano.

Kipindi hicho sikuweza kumtongoza kwasababu nilikuwa nipo kwenye stress kubwa wakati nasoma university.

Ila ilikuwa namkubali kubali kiasi, ila wakati tukiwa mwaka wa tatu akakutana na jamaa alikuwa ni graduate na anakazi. Jamaa akafanikiwa kumuweka kwenye himaya yake. Kwangu haikuniumiza sana kwa kwasababu sikuwahi kumtongoza akanitoe nje.

Siku zikaenda jamaa akaenda kujitambulisha kwa binti, ikapangwa mpaka siku ya harusi na vitu kwa hivyo.

Jamaa akawa anahairisha harusi mara kwa mara ila kafanikiwa kuzaa naye mtoto, ila baadaye wakaingia kwenye misuguano wakavunja uhusiano na sababu mwanamke anasema jamaa alikuwa na mwanamke mwingine na mpaka sasa eti jamaa anaishi naye na amezaa naye mtoto, anyway mwanamke akamchukua yule mtoto aliyezaa na jamaa akampeleka kwa wazazi wake.

Mpaka nakutanane naye ameachana na jamaa na kwa takribani miaka mitatu. Anyway baada ya kunieleza hayo kwa uchungu nikaanza naye mahusiano baadaye nikaona kwasababu ni mwanamke ambaye namfahamu kitabia tokea nikiwa chuo acha nifumbe macho nifanye haraku za kuweka ndani kwa heshima.

Anyway baada ya kuanza naye mahusiano akapata ujauzito nikaona ili nisimkweze na aone nipo sereous naye ngoja nikamtambulishe, nikampeleka home kwa utambulisho.

Nikawa nimebakiza kibarua ya kwenda kwao ambaye mpaka sasa sijaenda bado.

Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba, nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake. Anyway sikutaka kumcrash.

Ila nimeona nipate muda wakutafsiri hiyo picture na kujiuliza maswali mengi.

1. Binafsi najiuliza kama ametoka misri na ameamua kwenda Caana kwanini anarudi nyuma

2. Na kama wameachana na hawakufunga ndoa na ameshatambulishwa katika familia nyingine anaenda kule kama nani...?na kwasababu gani hasa...?

Binafsi nikaona huyu anacheza na akili yangu kwasababu kama yupo sereous akesahau kule pa zamani na kusonga mbele na njia mpya...

Mimi ni mtu ni kazi yangu na biashara zangu, sasa naona kwasababu hana kazi labda anaona apate mahali ambapo atapunguza makali fulani ya stress za mahusiono na maisha may be.

Binafsi naona niwe naye karibu amzee yule kiumbe then niangalie ustarabu mwingine ila asilani sintoweza kumoa tena...m
Unakaribishwa kwa ushauri
Yaani hapa ndio napochoka kuhusu wanawake. Sasa alishitiwa mimba na akaachwa alafu three years later tena hajaolewa tayari anabeba mimba tena. Huyo tayari inaonyesha kuwa hana akili na ndio maana yule kidume mwengine kamuacha.

Bwana mwanamke ambaye ameachwa na mwanaume mwenzio ujue huyo ni damaged goods...fit for kugegedaring tuu na sio kuoa.
 
Ulimwekea mazingira na misimamo Ya unacho taka na usichotaka kutoka kwake...
Tamaduni zetu na tulivokuzwa zinatuelezea Msiba ni kitu cha kushirikiana na kufarijiana bila kujali uko wapi, Binafs sijaona sababu ya kukupelekea kuchukua hayo maamuzi japo Heading yako inatisha kweli kweli mtu anaweza akaona kama umepigwa boonge la tukio
All and all utashauriwa mengi ila Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako

Cheers
 
Hakuna state ambayo wanawake wananyanyasika kama asipokua na kitu cha kumuingizia fedha kidg...umesema amezaa na jamaa kwahiyo hapo mwanayr amefiwa na babu...kwahiyo asiende kisa? Si anaenda kwasababu amechangia damu huko?
Mie naenda sana na huna la kunifanya[emoji57]! Unataka maisha yasimame kisa umemtangazia unamuoa? Ase!
Jamaa ana fail sana kiukweli.

Namuhurumia sana huyo mtoto

Ambaye baba yake wa kufikia hataki msiba wa babu yake uhudhuriwe.

Hilo tu linaonesha treatment huyo mtoto atapata.

In reality, huyo dada ndo anatakiwa amuache huyu jamaa.
 
Nawashangaa watu wanaosema kwamba huyo single mother ataliwa mzigo na mzazi mwenzake. Hivi mnajua kwamba huyo mwanaume kafiwa na mzazi wake? Hizo hisiaza ngono zinatoka wapi kwa mtu aliyepoteza mzazi? Binafsi naona mwanamke alipaswa kuomba ruhusa kwa jamaa kabla ya kwenda. Na kingine kama unajijua una roho nyepesi na wivu kupindukia usioe single mum. Kuna mambo mengi yatakayowakutanisha hao wazazi ikiwemo ugonjwa, misiba nk.
 
Jamaa ana fail sana kiukweli.

Namuhurumia sana huyo mtoto

Ambaye baba yake wa kufikia hataki msiba wa babu yake uhudhuriwe.

Hilo tu linaonesha treatment huyo mtoto atapata.

In reality, huyo dada ndo anatakiwa amuache huyu jamaa.
Amesema kule juu bidada bado anamtegemea..ngumu kumuacha...kuishj na mwanamumr anayetaka kujifanya king mm siwez aisee..tusikilizane hapo sawa..ukileta ukidume na huna kitu wala akili na🚮
 
Kaa tafakari kwa kina mkuu maamuzi sahihi ya kufanya

Ila mwanamke ni rahisi kumsahau aliyemtoa bikira, ukilinganisha na aliyezaa nae mtoto
Usijumuishe, wote hao wanasahaulika vizuri tu ambae hasahauliki ni aliyekupatia kunako mahala huyo ndo haswaa Ni ngumu kumsahau
 
Sioni kama ni big deal labda kama una sababu zako zingine zenye mantiki
 
Hapo vip!!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.

Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na mdada mmoja ambaye tulimaliza naye chuo, na kwa bahati nzuri nilikuwa nasoma naye course moja na pia tulikuwa group moja kwenye discussion. Hivyo na mfahamu kwa kiasi alikuwa ni binti mwenye msimamo kwenye mahusiano.

Kipindi hicho sikuweza kumtongoza kwasababu nilikuwa nipo kwenye stress kubwa wakati nasoma university.

Ila ilikuwa namkubali kubali kiasi, ila wakati tukiwa mwaka wa tatu akakutana na jamaa alikuwa ni graduate na anakazi. Jamaa akafanikiwa kumuweka kwenye himaya yake. Kwangu haikuniumiza sana kwa kwasababu sikuwahi kumtongoza akanitoe nje.

Siku zikaenda jamaa akaenda kujitambulisha kwa binti, ikapangwa mpaka siku ya harusi na vitu kwa hivyo.

Jamaa akawa anahairisha harusi mara kwa mara ila kafanikiwa kuzaa naye mtoto, ila baadaye wakaingia kwenye misuguano wakavunja uhusiano na sababu mwanamke anasema jamaa alikuwa na mwanamke mwingine na mpaka sasa eti jamaa anaishi naye na amezaa naye mtoto, anyway mwanamke akamchukua yule mtoto aliyezaa na jamaa akampeleka kwa wazazi wake.

Mpaka nakutanane naye ameachana na jamaa na kwa takribani miaka mitatu. Anyway baada ya kunieleza hayo kwa uchungu nikaanza naye mahusiano baadaye nikaona kwasababu ni mwanamke ambaye namfahamu kitabia tokea nikiwa chuo acha nifumbe macho nifanye haraku za kuweka ndani kwa heshima.

Anyway baada ya kuanza naye mahusiano akapata ujauzito nikaona ili nisimkweze na aone nipo sereous naye ngoja nikamtambulishe, nikampeleka home kwa utambulisho.

Nikawa nimebakiza kibarua ya kwenda kwao ambaye mpaka sasa sijaenda bado.

Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba, nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake. Anyway sikutaka kumcrash.

Ila nimeona nipate muda wakutafsiri hiyo picture na kujiuliza maswali mengi.

1. Binafsi najiuliza kama ametoka misri na ameamua kwenda Caana kwanini anarudi nyuma

2. Na kama wameachana na hawakufunga ndoa na ameshatambulishwa katika familia nyingine anaenda kule kama nani...?na kwasababu gani hasa...?

Binafsi nikaona huyu anacheza na akili yangu kwasababu kama yupo sereous akesahau kule pa zamani na kusonga mbele na njia mpya...

Mimi ni mtu ni kazi yangu na biashara zangu, sasa naona kwasababu hana kazi labda anaona apate mahali ambapo atapunguza makali fulani ya stress za mahusiono na maisha may be.

Binafsi naona niwe naye karibu amzee yule kiumbe then niangalie ustarabu mwingine ila asilani sintoweza kumoa tena...m
Unakaribishwa kwa ushauri
Tulishasema hawa watu hawana msimamo juu ya kuchagua nani awe naye nikama wameshakata tamaa kwanza kwanini uoe single maza na vibinti visupa vipo mtaani shekh!!

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Huyo mwanamke naye mtu kazalishwa na kuachwa, kisha unapata mwingine badala yakusubili uolewe unabeba nyungine daa akili nyingine buana kama kurogwa vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom