Huyu Samaki Anaitwaje Wakuu. Thanks.

Huyu Samaki Anaitwaje Wakuu. Thanks.

Jiwe la baharini.
Likitoka baharini litapanda mbinguni kuwatawala Malaika.

Mtoa mada, wewe mchochezi.

Hamna mkuu.

Si mchochezi hata, nahitaji kujua jina lake tu mkuu. Naona ana majina kibao aseee.

Ni Hatari sana.
 
Huyo samaki anaitwa shetani mkuu.Anapatikana bandari ya darisalama tu maeneo ya ferry ndani ya jengo moja jeupe linafanana na majengo ya zamani ya wakoloni.
 
Screenshot_20180315-110154.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom