Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,026
- 5,431
Huyu Celine yeye alikuwa Mgonjwa
Huyu Celine yeye alikuwa Mgonjwa
Napenda sana MAR-BOLO.Ety kama mbuzi aliyekula marbolo 😂
Nachoka sana kila nikikumbuka mbunye yangu inazidi kuzeeka kila uchwao.Kwahiyo mlitaka abaki binti?
Nyie mama zenu mna uhakika hawajazeeka?
Kwahiyo mlitaka abaki binti?
Nyie mama zenu mna uhakika hawajazeeka?
Bichwa mbunye imezeeka kivipi?Nachoka sana kila nikikumbuka mbunye yangu inazidi kuzeeka kila uchwao.
Wapi alijifanya forever young?Tatizo sio kuzeeka, Shida yake ni kutaka kua Forever Young.
Mbunye imeshaanza kuota makunyanzi jamani uwiihhhh 😭😭😭😭😭Bichwa mbunye imezeeka kivipi?
Toka nazaliwa namsikia wema anasema ana miaka ishirini.Wapi alijifanya forever young?
Hizo ni chuki zenu tu!
Hata wema pia alikata utumboHuyu Celine yeye alikuwa Mgonjwa
Wapi alijifanya forever young?
Hizo ni chuki zenu tu!
Toka nazaliwa namsikia wema anasema ana miaka ishirini.
Mpaka leo nina watoto saba yeye bado ana miaka ishirini tu jamani 😭😭😭😭
Lakini kila nikiangalia manundu na mafuvu kwenye uso wake naishiwa pawa 😭😭😭
Mbunye imeshaanza kuota makunyanzi jamani uwiihhhh 😭😭😭😭😭
Wee muongo sana wizzo. 😂😂😂Nachoka sana kila nikikumbuka mbunye yangu inazidi kuzeeka kila uchwao.
Muacheni wema wa watu hata wake zenu wamezeeka huko majumbani..!! 😹Unakaza Fuvu eeh.
Tatizo sio kuzeeka, Shida yake ni kutaka kua Forever Young.