Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 811
Mhhhhhhhhh! jamaa kapendeza kweli. Fisadi mkubwa!
Kama kupendeza na umaridadi ndio uongozi bora. JK angekuwa Best Leader Afrika nzima
Mhhhhhhhhh! jamaa kapendeza kweli. Fisadi mkubwa!
Aseeee!!
Tunataka tamko!
Kapendeeza kweli kweli.Akisimama yeye na dkt Slaa kura yangu kwake.
Ni msanii by profession, pale UDSM kasomea degree ya Arts and Theatre.
Likitokea tatizo Silver hair akaangushiwa hiki kibandiko BAR-KWATA watatoa tamko??
alaaa na fatwa itatangazwa hapo! Unacheza na maulana?
kama imani siyo mavazi mbona Bi. Fatuma alipovuliwa kile (maana sijui kama ilikuwa ni Hijabu au Mtandio) kitambaa watu walikuja juu na kutoa matamko ya ajabu ajabu.imani siyo mavazi.....Ruksa kuvaa bana.
hapa basi tena ole wako chadema mumuandame lowasa si unaona libahasha hilo hiyo ni bakwata maubwabwa
Huyu ni ustaadhi Edward Lowassa!!
Hawa watu dizaini ya huyo wa katikati sitakii hata kuwasikia, walinitia hasara kubwa sana! Nilichukua mkopo mahali nikajaribu kuwekeza kwa kufungua bar pale mwembebasha wakaichoma moto. Sss nadaiwa mkopo wa watu.
alaaa na fatwa itatangazwa hapo! Unacheza na Maulana?