Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 459
Ukiwa mwanasiasa hasa wa malengo makubwa Kanzu na kibaraghashia ni muhimu kuwa kabatini.Asilimia 98 ya wanasiasa wa juu
tanzania wana vifaa hivi yakhe.
Du!unamaanisha wanavimiliki"strategically"?
Ukiwa mwanasiasa hasa wa malengo makubwa Kanzu na kibaraghashia ni muhimu kuwa kabatini.Asilimia 98 ya wanasiasa wa juu
tanzania wana vifaa hivi yakhe.
dah jamaa kashindikana mbinguni na ahela,maana ndani hayumo nje hayupo.kweli baba unaaply elimu yako ipasavyo,mara TB JOSHUA MARA MSIKITANI???????????????????????????/
Jitayarisheni,ngoma inakuja.Urais inaonekana anautaka.Badala ya kulalamikia picha,tumia muda huo mjipange.Otherwise subiri uone.Unadhani wanasiasa wanapiga picha kwa bahati mbaya?Amka wewe.Usije kumbuka shuka kukiwa kumeshakuchwa.Hivi pictures nazo ni SIASA??? MOD please peleka hii kule kwenye pictures
Jitayarisheni,ngoma inakuja.Urais inaonekana anautaka.Badala ya kulalamikia picha,tumia muda huo mjipange.Otherwise subiri uone.Unadhani wanasiasa wanapiga picha kwa bahati mbaya?Amka wewe.Usije kumbuka shuka kukiwa kumeshakuchwa.

Kapendeeza kweli kweli. Akisimama yeye na dkt Slaa kura yangu kwake.
Mzee Mwanakijiji jamaa kavaa tuu hiyo Kanzu??Mimi nachukulia tu ni vazi kavaa ambalo linavaliwa na watu wa pwani. Maana tukikubali kuwa mtu akivaa kanzu na balakashia maana yake ni ana pandering kwa Waislamu tunawadharaulisha Waislamu! Nimeona Mbowe akivaa kanzu na balakashia na wengine wengi tu.. kama kuna mtu anazugwa na kanzu basi tuna matatizo makubwa zaidi kuliko vunavyoweza kukiri.
hapa basi tena ole wako chadema mumuandame lowasa si unaona libahasha hilo hiyo ni bakwata maubwabwa